Shemeji yangu gay, alale na nani?

Shemeji yangu gay, alale na nani?

Du kama wife ni mbishi anang'ang'ani mdogo wake aje, mwambie kabisa kwamba kuwa wewe (Baba) utalala na mgeni sebuleni/verandani Mama alale na wa kike na chumba kilichobaki alale wa kiume.
Vaa msuli tu na mweleze mkeo punga likipunga utapunga nalo.
Samahani sana hapo utajua mkeo na mdogo wake wana ............... ?
Duh! Nimtifue shoga
 
Mr umeoa au umeolewa??????
Man needs to be a man, kama anampenda sana mwambie aende yeye na asiende na watoto.
Mie nimemuoa,sababu yake kuu ni kuwa huku tulikoha10
0 huyu mdogo wake hakujui kwahiyo anataka lazima aje ili kupajua
 
kwani watoto hawawezi kulala pamoja? Laza watoto pamoja na huyo apate chumba chake mwenyewe...
Sasa nimepata jibu mtoto wa kike atalala na mama yake mie nitadondosha na mtoto wangu wa kiume halafu yeye atakumbatia mto ktk chumba cha mtoto wangu wa kike
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
akhu kisa cha kumpaka bnt mapepo ya sodoma?
wala alale ukouko kwa wakiume
km vp mpangien gest ya karibu...ashinde kwako kulala gest

mashoga hawana msalia mtume thy r capable of anythng

wewe Rose1980, wampangie Guest ? si ndo atakuwa chakula huko na kuipa jina baya familia aliyotembelea , nadhani wampe chumba chake mwenyewe.
 
kwani kuna ulazima wa yeye kuja kwako kama hamna vyumba vya kutosha,halafu haya mambo ya kulaza watoto na wageni ndio nini?
Anataka kuja kuyaona makazi yetu mapya
 
Sasa nimepata jibu mtoto wa kike atalala na mama yake mie nitadondosha na mtoto wangu wa kiume halafu yeye atakumbatia mto ktk chumba cha mtoto wangu wa kike

...Dah, aisee pole sana. Hayo ndio mambo ya "Mkono usoweza ukata ubusu!"
Huna budi kuukubali ukweli, majaaliwa ya shemejio hayo na ka ugonjwa kake.

Haya, usiku mwema!
 
...Dah, aisee pole sana. Hayo ndio mambo ya "Mkono usoweza ukata ubusu!"
Huna budi kuukubali ukweli, majaaliwa ya shemejio hayo na ka ugonjwa kake.

Haya, usiku mwema!
Nawe pia
 
Sasa wewe sio Gay ukienda kulala kwa mtu utajisikiaje wakifikiria kama ulale na mtoto gani?

Unachotaka sema sema kweli kama yeye analala na watoto yaani anabaka na hilo ni kosa kubwa sana
 
Kuna vitu viwili hapa tunapaswa kuviangalia:
1. Mashoga ni binadamu kama binadamu wengine; kuwa kwao mashoga hakuwafanyi wakose hisia na sifa nyengine za kibinadamu.
2. Shemeji yako, ni mjomba wa damu wa watoto wako, ni watoto wake pia; na kama ilivyo kwenye namba moja juu, huyu akiwa kama mjomba na mwenye hisia za kibinadamu, hawezi kuwaharibu watoto wake. Tuchukuwe mfano mwengine; ikiwa mtu ni shoga na ameoa na kupata watoto (wapo wengi waliooa), jee huwaharibu watoto wake?

Lakini kama bado una wasiwasi, basi mwache mama alale na watoto wake, na wewe ulale na huyo "shoga", angalau usiku mmoja tu. Akijaribu kukumendea asubuhi mkaribishe aondoke nyumbani.[/
si vizuri kuwaamini wajomba na wababa wadogo kulala na watoto wako kwani mara nyingi ndio wamekuwa waaribifu namba moja,
 
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.

Usithubutu kumlaza na watoto, afer all mara nyingi sio safe kulaza watu wazima wageni nyumbani kwako na watoto, mlaze subeleni au mtafutie chumba kwenye hoteli au nyumba ya kulala wageni iliyopo karibu na kwako, kwa usalama zaidi
 
Watoto wako ni wadogo sana, miaka 9 and 6 sioni tatizo kama wakilala chumba kimoja. Mwache mgeni alale chumba chake, na watoto walaze kwenye chumba kimoja. Sioni hata nini hapo kinachokushinda. Kama ni kumharibu mtoto wako wa kiume akitaka hatashindwa! labda kama kipindi chote atakachokuwepo mtakuwa mnashinda pamoja 24 hrs. Huyo shemeji yako ni binadam kama binadam wengine, haina haja ya kumbagua kiivyo.. unless kama mmeshasikia kesi kadha wa kadha kwamba anatuhumiwa kuharibu watoto.
 
Mpeleke guest za book book atang'aza akili...gays wanatabia ya kujaribu kueneza yale wanayoyaamini hata kwa hila!
 
Habari za weekend waheshimiwa? Ni hivi nina shemeji yangu (mdogo wa kiume)kwa my wife wangu ambaye c rizki watu wanamuhemea mgongoni/gay ambaye anataka kuja kunitembelea ckukuu ya pasaka,binafsi kichwa knauma. je? Gay huyu alale chumba cha mtoto wangu wa kike au wa kiume.
we unalako jambo hutaki wageni wa sikukuu kisa hujajiandaa unaanza kuleta zengwe!!we una uhakika gani kama ni bwabwa??acha roho mbaya wewe unaonekana ni selfish mkubwa na mchoyo sana...i hate you!!huwezi kumuita mtu gay wakati hujaweka proof hapa..watu wana akili zao bwana!!
kama hutaki akutembelee sikukuu basi si vyema umchafue!mbona dada yake umempenda??acha hizo!kwani unavyumba vingapi kwako??na kama huna za sikukuu useme wana jf tutakuchangia!
sikukuu njema na uache u selfish!huyo ni shemeji yako muheshimu kama mdogo wako mwingine yoyote!!

Mwambie kuwa wewe na familia yako mmepanga kusafiri hivyo asije au kama vipi mpe live kuwa hutaki aje kwako kwa sababu ya tabia yake ya usoga.
 
We vipi? sasa shoga linakuja kwako kufanya nini? hutakiwi kuonyesha kama unampenda mke wako pamoja na familia yake kwa kukubali ujinga kama huu, unadhani atawafundisha nini watoto wako? kwa sababu mchana watakaa na kuongea kama kawaida nakushauri mwambie kwa sababu wewe ni shoga sitaki uje nyumbani kwangu na mke wako pia mwambie msimamo wako.
Kama ni mimi nisinge kubali hata kuongea nae katika simu
 
we unalako jambo hutaki wageni wa sikukuu kisa hujajiandaa unaanza kuleta zengwe!!we una uhakika gani kama ni bwabwa??acha roho mbaya wewe unaonekana ni selfish mkubwa na mchoyo sana...i hate you!!huwezi kumuita mtu gay wakati hujaweka proof hapa..watu wana akili zao bwana!!
kama hutaki akutembelee sikukuu basi si vyema umchafue!mbona dada yake umempenda??acha hizo!kwani unavyumba vingapi kwako??na kama huna za sikukuu useme wana jf tutakuchangia!
sikukuu njema na uache u selfish!huyo ni shemeji yako muheshimu kama mdogo wako mwingine yoyote!!

Duh! Ndugu yangu kweli ligi unaipenda,inavyoonesha unaweza hata kubishana na radio,we unafikiri huku shoga anajificha kama huko Tz? Mimi ndiye shemeji yake na nakuambia ni kuwa huyu my bradha ini lowu wangu halafu unabisha bac we endelea tu kubisha.Na kuhusu kuuza samaki=selfish ni mambo ya kawaida tu kuwa mchoyo wala usitishike sana,kunichukia wala kchwa hakiniumi we endelea tu kunichukia mpaka utakapochoka na kuhusu mkwanja ninao sihitaji mchango wako
 
Kwanza kabisa kua na tabia ya kua karibu na watoto wako , ili wawe rahisi kukuambia kibaya ambacho anaweza fanyiw ana mfanyakazi wa ndani, ndugu au rafiki zake shuleni na pia uwaonye kuhusu Strangers with candy , halafu kama haiwezekani kulala living room huyo mgeni, basi mhamishie huyo mtoto wa kiume chumba cha dadake , kwani haita mharibia chohcotekwnai ni kwa muda tuu, kuliko kumweka huyo shemeji na mtoto wakiume .Tabia za kigay nyingi zinakuaga na matamanio ya vijana wadogo so, kua makini na hilo.
 
Kwani lazima aje kwako? mwambie usije kwangu kwakuwa wewe ni bwabwa.
 
Back
Top Bottom