Kuna vitu viwili hapa tunapaswa kuviangalia:
1. Mashoga ni binadamu kama binadamu wengine; kuwa kwao mashoga hakuwafanyi wakose hisia na sifa nyengine za kibinadamu.
2. Shemeji yako, ni mjomba wa damu wa watoto wako, ni watoto wake pia; na kama ilivyo kwenye namba moja juu, huyu akiwa kama mjomba na mwenye hisia za kibinadamu, hawezi kuwaharibu watoto wake. Tuchukuwe mfano mwengine; ikiwa mtu ni shoga na ameoa na kupata watoto (wapo wengi waliooa), jee huwaharibu watoto wake?
Lakini kama bado una wasiwasi, basi mwache mama alale na watoto wake, na wewe ulale na huyo "shoga", angalau usiku mmoja tu. Akijaribu kukumendea asubuhi mkaribishe aondoke nyumbani.[/
si vizuri kuwaamini wajomba na wababa wadogo kulala na watoto wako kwani mara nyingi ndio wamekuwa waaribifu namba moja,