FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
😁Mpunguzie ratio na uwe unampa makazi magumu ili akimbie.
Mnyime huduma hapo homeNamuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
Ampe utelezi tu kmmkMpunguzie ratio na uwe unampa makazi magumu ili akimbie.
Anza kumgonga dada yake hovyo hovyo, iwe sebuleni, jikoni na kila sehemu na uhakikishe jamaa ana uwezekano mkubwa wa kuwakutaniza. Ikitokea akaona kama mara tatu na bado akaendelea kukaa kwako, njoo uninyofoe oesophagusNamuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
Nilipo achaga kuvuta bangi Nika Anza kuwa mtu mwema mpaka Leo mzee..Anza kumgonga dada yake hovyo hovyo, iwe sebuleni, jikoni na kila sehemu na uhakikishe jamaa ana uwezekano mkubwa wa kuwakutaniza. Ikitokea akaona kama mara tatu na bado akaendelea kukaa kwako, njoo uninyofoe oesophagus
Au jamaa amfanye shemeji yake awe wakunyonya 🤣🤣Washe kama washe
hauna kashamba mahali?Namuambia ajifunze ufundi anasema yeye anasema muda wake maalumu utafika
Amuombe taqo huyo dogo (shemeji) akikubali dada (mke) ndio aondokeAnza kumgonga dada yake hovyo hovyo, iwe sebuleni, jikoni na kila sehemu na uhakikishe jamaa ana uwezekano mkubwa wa kuwakutaniza. Ikitokea akaona kama mara tatu na bado akaendelea kukaa kwako, njoo uninyofoe oesophagus
We jamaa wewe! Umepenyeza code kali sanaAnzisha shughuli kama Ufugaji kuku, Kilimo na nyingine ndogo ndogo ili uweze kumtumia nawewe unufaike na uwepo wake.
Also, ukiona una Shemeji yupo yupo ndio wakati unaanzisha vi-project vingi vingi kwakua utapata kitonga cha mtu wa kuvisimamia (endapo Akili yake ipo timamu).
Jifunze kuwatumia watu kujinufaisha, hii ndio siri ya kusonga mbele, hasa hao wa bure bure. win -win situation.
Be a Man, usiwe mtumwa kwenye nyumba yako kisa kuogopa kufanya maamuzi magumu.
Fata huu ushauri hautajuta.Nilipo achaga kuvuta bangi Nika Anza kuwa mtu mwema mpaka Leo mzee..
Ulicho zungumza sio ubinadamu...unaweza mfanyia ivyo siku moja jamaa akaja fanikiwa kupita wewe na ukaitaji msaada wake remember LIFE IS A CYCLONIC PROCESS.
HahahahaIla JF ilivyo na vituko unaweza kukuta wewe ndio shemeji mwenyewe, unataka kuskia Walimwengu watasemaje