bongodili tele
JF-Expert Member
- Jun 8, 2024
- 1,520
- 3,022
Yani kwa heshima ya huyo mwanangu bado kama nasita sita. Ila kuna mwana kanambia nipeleke tu moto maana hata nikimuacha huyo binti kwa hasira anaweza kunitengenezea skendo kwa mumewe ili kunikomoa kwa kukataa kumtimizia jambo lake.We mpelekee moto mwanangu, kumbe bado tu.
Ilo lipo emu nambie mmepanga sehemu moja au kwa mwana na kwako ni mbali, ila umezoea kwenda kumsalimia.Yani kwa heshima ya huyo mwanangu bado kama nasita sita. Ila kuna mwana kanambia nipeleke tu moto maana hata nikimuacha huyo binti kwa hasira anaweza kunitengenezea skendo kwa mumewe ili kunikomoa kwa kukataa kumtimizia jambo lake.
Mfano anaweza kumdanganya mumewe kuwa mimi namtaka na nishawahi kumtongoza ila yeye akakataa.
Dhambi ya kuchepuka talaka ni lazimaNikiolewa nitakuwa mwaminifu hadi niwe ba mchepukooo
Yes,ila mtu yuko mbali na kamuacha mkewe aloneDhambi ya kuchepuka talaka ni lazima
Mcheki huyo manzi mwambie aje kwako kama huna wife afu ujue kama anautaka au keshapata wa kumburuza.Tunaishi mbali mbali sana ila hutembeleana.
Kwan ye ni mnyama hadi ashindwe kuvumilia.Yes,ila mtu yuko mbali na kamuacha mkewe alone
UongooKwan ye ni mnyama hadi ashindwe kuvumilia.
Hakuna excuse ya kuhalalisha uchepukaji.
Kuchepuka ni kuleta uchafu ndani ya ndoa yako
We bado hujaolewa kumbeYes,ila mtu yuko mbali na kamuacha mkewe alone
😭kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa.
Eh nitaolewa nikimpata nimtakayeWe bado hujaolewa kumbe
Nimepanga nitoke nae out mbali na maeneo tunayoishi tuongee nimsikilize alaf ndo nitaamua cha kufanya baada ya kusikiliza maongezi yake.Mcheki huyo manzi mwambie aje kwako kama huna wife afu ujue kama anautaka au keshapata wa kumburuza.
Kumbe upo kwenye kichwa changu, yaani unamsikiliza kwanza.Nimepanga nitoke nae out mbali na maeneo tunayoishi tuongee nimsikilize alaf ndo nitaamua cha kufanya baada ya kusikiliza maongezi yake.
Msikilize kwanza kabla hujala shombo, mke wa mtu kondom muhimu, mi kuna huyo naenda kumla juma4 ila yeye mume wake hana muda naye na kaniganda atari.Ndio mkuu maana nisije kuchukulia kuwa naweza kumburuza kiurahisi alaf matokeo yake kumbe ndo naenda kuharibu kabisa kila kitu.