Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ilete hiyo story ya FB hapa pamoja na hiyo avatar. Alafu inaonekana wew ni mgeni hapa jukwaani maana hiyo avatar ni ya tangu nilipofungua hii account na ni pich yang ambayo hauwezi kuipata kwa mtu mungine yoyote zaid yangu.😂 😂 😂
Story umecopy hii Facebook na hiyo page picha yake ndio hiyo avatar yako, halafu kwanini mnapenda kuwachosha watu akili?
Natuma kwangu haifunguki, toka majuzi hii shida kwangu ipo nilikuwa nakutumia ila inagomaMTU MTU MTU inbox me plz
Dah ukinipeleka kwenye mambo ya Mungu ndo unaninyong'onyesha kabisa. Nahisi kama umenipiga na nyundo kichwani. Maana mbingu naitaka na kitobo nakitaka.Usitamani mke wa jirani yako hii ni amri ya 9 katika toraut ya moussa aliyopewa na Allah. Tuzingatie Hilo
Tatizo umefunga pm🙄Natuma kwangu haifunguki, toka majuzi hii shida kwangu ipo nilikuwa nakutumia ila inagoma
Ngoja nifungue nioneTatizo umefunga pm🙄
Hakuna anayeondoka na chochote katika huu ulimwengu, kwa maana umekuja na roho na utaondoka na roho mwili na vingine utaviacha hapa duniani.Dah ukinipeleka kwenye mambo ya Mungu ndo unaninyong'onyesha kabisa. Nahisi kama umenipiga na nyundo kichwani. Maana mbingu naitaka na kitobo nakitaka.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuomba ushauri kuhusu suala la kuzini na mke wa rafiki yake.Nimekuja kuomba ushauri mkuu. Kumbuka kuna mambo mengine ili uyafanye au usiyafanye ni lazima upate kwanza ushauri kwa watu ili ujue hatua ya kufuata.
Unaona sasa ulivyo LIPUMBAVU.Nalijua hilo mkuu, lakini sipendi kuona shemej anapeleka mboga nje na wakati ndani walaji wa kimya kimya tupo.
mheshimu mke wa mwenzako
Nimekuelewa mtumishi wa Mungu. Acha nifate ya Mungu na kuacha ya shetani, shem amegwe na wengine.Hakuna anayeondoka na chochote katika huu ulimwengu, kwa maana umekuja na roho na utaondoka na roho mwili na vingine utaviacha hapa duniani.