Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

Habari zenu wanaJF wenzangu

Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.

Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.

Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.

Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.

Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.

Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.

So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
Kwa uzoefu wangu hilo kabila wanawake ni wahuni sana na ni muujiza mwanamke kuwa na mwanaume mmoja.
 
1000131370.jpg
 
Kumuita mleta mada mjinga ni kumshusha cheo.Huyu ni MPUMBAVU ambaye anamtamani mke wa rafiki yake anakuja hapa kuzuga.
Nimekuja kuomba ushauri mkuu. Kumbuka kuna mambo mengine ili uyafanye au usiyafanye ni lazima upate kwanza ushauri kwa watu ili ujue hatua ya kufuata.
 
Hapa ndio kosa lilianziaaa ..............jamaa ajiandae kutoa talaka tu aendelee kufanya kazi yake ya malori na c kuacha kazi kisa akae kuridhisha mwanamkee..
Ni kweli.. maana anaweza kuacha kazi, alaf na mwanamke akamuacha yeye. Mwisho wa siku akaanza kujiona ananuksi kumbe nuksi ni maamuzi yake mwenyewe.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu

Nina rafiki yangu ambae tumekuwa nae, tumesoma nae na kucheza nae toka utotoni. Homie huyu tumekuwa tukishirikiana kwa mambo mengi ya kimaisha, mpaka kupelekea baadhi ya watu wasiotufahamu kuhisi kuwa sisi ni ndugu wa baba mmoja na mama mmoja.

Miaka miwili iliyopita rafiki yangu huyu akaamua atimize nguzo muhimu ya maisha kwa kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa. Baada ya harusi maisha ya ndoa yakaanza kila mmoja wao akifurahia kuoa/kuolewa na mwenzake.

Rafiki yangu huyu ni dereva wa matraki makubwa yanayokwenda nje ya nchi, hivyo muda mwingi humkuta akiwa safarini, na anaporudi huwa ni mtu wa kuchoka choka na kulala lala muda wote. Kwa kipindi cha mwaka mmoja wao wa ndoa jamaa angu alikuwa anajitahidi kutimiza haki za mkewe kwa upande wa kodi ya meza, haki ya kitanda, tiba kwenye maradhi nk hivyo ndoa ilikuwa inakwenda vizuri tu.

Mwaka uliofuatia ambao ndio huu wa pili, hali imekuwa tofauti kwa rafiki yangu kurudi safarini akiwa amechoka sana na hivyo muda mwingine kushindwa kutimiza haki ya kitanda kwa ukamilifu wake. Kwa mujibu wa shemeji yangu, anadai yeye huwa anapenda mtu wa kuchukua angalau dakika 35 na kuendelea akiwa juu ya kifua. Na round takriban angalau ziwe 2 au tatu ndo atatosheka. Shemej anasema mwanzoni homeboy alikuwa anajitahidi kwenda sawa, lakini jinsi miezi na miaka sasa inavyokwenda ndo jinsi mwamba anavyozidi kupunguza speed aliyokuwa nayo mwanzo. Mara kabla ya kumaliza povu linamtoka na kuishia njiani bila kumaliza mechi. Mara akimaliza round 1 hawezi kurudia ya pili.

Hali iliendelea hivyo mara shem uzalendo ukamshinda akawa ananiletea kesi niongee na jamaa angu. Jamaa nikiongea nae ananambia anashindwa kukamilisha kile alichozoea kwa sababu ya mchoko wa kazi zake za safarini. So akawa anaomba amvumilie tu kila kitu kitakuwa sawa mbeleni.

Baada ya kuona hakuna mabadiliko ndo akaamua kuniambia kuwa atachukua hatua ambayo hatohitaji lawama, maana hatimiziwi vizuri haja zake. Au kama inawezekana basi niingilie kati kuokoa jahazi mapema kabla halijazama.

So wazee hapa nichukue uamuzi gani ili kusave tatizo la jamaa angu? Maana ni kama vile anahitaji mimi niwe namkaza sawa sawa ili kuziba pengo la mwanangu analoliacha kutokana na safari pamoja na mchoko wa safari kila anaporudi.
Ukikua utaacha maana inaonekana ulikuwa na mate tangu ulipomuona shemeji yako kwa mara ya kwanza
 
Unamkumbuka Penina wa Goba mshangazi nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma hadi akageuzwa bucha..🤣
 
Usitamani mke wa jirani yako hii ni amri ya 9 katika toraut ya moussa aliyopewa na Allah. Tuzingatie Hilo
 
Kwa uzoefu wangu hilo kabila wanawake ni wahuni sana na ni muujiza mwanamke kuwa na mwanaume mmoja.
Kumbe hii ni hulka yao wote, au inatokana na tabia tu ya mtu, malezi nk?
 
Mwanetu umekaa ukawaza kabisa kuwa sisi tunaweza kuwa wajinga wenzio tunafaa kukushauri utembee na mke wa rafiki yako? Yaani umekaa ukawaza ukaona tunafaa kukushauri hivyo? OK! Tembea nae na siku ukipakwa mafuta uje utuombe ushauri
 
Ukikua utaacha maana inaonekana ulikuwa na mate tangu ulipomuona shemeji yako kwa mara ya kwanza
Amna mimi nilikaa mbali na shemej yangu, sikutaka kujihusisha nae kabisa, mpaka pale nilipoanza kuletewa kesi zao. Cha kushangaza kesi mkewe alizileta kwangu badala ya kuzipeleka kwa ndugu wa mume.
 
kaa tayari na uwe makini, kifo kipo mlangoni mwako. uzinzi haujawahi kumwacha mtu salama. usijesema hatukukuambia.
Nalijua hilo mkuu, lakini sipendi kuona shemej anapeleka mboga nje na wakati ndani walaji wa kimya kimya tupo.
 
Back
Top Bottom