Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

We pisi ya mwana umeanzajeanzaje mazoea nayo? Ubingwa unao kweli wewe!!?
 
Huyo ni Malaya aloolewa.

Kwahiyo mke wa mwamba mtafutaji anataka kugongwa na mzurulaji?
 
😂 😂 😂
Story umecopy hii Facebook na hiyo page picha yake ndio hiyo avatar yako, halafu kwanini mnapenda kuwachosha watu akili?
Wewe ilete hiyo story ya FB hapa pamoja na hiyo avatar. Alafu inaonekana wew ni mgeni hapa jukwaani maana hiyo avatar ni ya tangu nilipofungua hii account na ni pich yang ambayo hauwezi kuipata kwa mtu mungine yoyote zaid yangu.
 
Usitamani mke wa jirani yako hii ni amri ya 9 katika toraut ya moussa aliyopewa na Allah. Tuzingatie Hilo
Dah ukinipeleka kwenye mambo ya Mungu ndo unaninyong'onyesha kabisa. Nahisi kama umenipiga na nyundo kichwani. Maana mbingu naitaka na kitobo nakitaka.
 
Dah ukinipeleka kwenye mambo ya Mungu ndo unaninyong'onyesha kabisa. Nahisi kama umenipiga na nyundo kichwani. Maana mbingu naitaka na kitobo nakitaka.
Hakuna anayeondoka na chochote katika huu ulimwengu, kwa maana umekuja na roho na utaondoka na roho mwili na vingine utaviacha hapa duniani.
 
Nimekuja kuomba ushauri mkuu. Kumbuka kuna mambo mengine ili uyafanye au usiyafanye ni lazima upate kwanza ushauri kwa watu ili ujue hatua ya kufuata.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kuomba ushauri kuhusu suala la kuzini na mke wa rafiki yake.
Dada yako akitaka ufanye naye mapenzi utakuja hapa kuomba ushauri au utakataa bila kuomba ushauri kwa mtu?
Narudia tena,wewe ni MPUMBAVU unayemtamani mke wa rafiki yako unakuja hapa kuzuga eti unaomba ushauri.
Moron.
 
Mke hovyo, shemeji hovyo, mume hovyo. Mnanuka uhovyo.
 
Ila JF ya siku hizi bana kha!

Uzi wa kipumbavu kama huu hauwezi kufutwa. Weka uzi wa maana ukihoji wizi wa CCM chap mods wanapita nao.

Inashangaza sana!
 
Hakuna anayeondoka na chochote katika huu ulimwengu, kwa maana umekuja na roho na utaondoka na roho mwili na vingine utaviacha hapa duniani.
Nimekuelewa mtumishi wa Mungu. Acha nifate ya Mungu na kuacha ya shetani, shem amegwe na wengine.
 
Back
Top Bottom