Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

Mwambie huyo ni Malaya aliyekubuhu aachane nae mapema kabla hajazaa nae.
Tendo la ndoa ni sehemu tu ya ndoa na sio ndilo ubeba ndoa
 
We mpelekee moto mwanangu, kumbe bado tu.
Yani kwa heshima ya huyo mwanangu bado kama nasita sita. Ila kuna mwana kanambia nipeleke tu moto maana hata nikimuacha huyo binti kwa hasira anaweza kunitengenezea skendo kwa mumewe ili kunikomoa kwa kukataa kumtimizia jambo lake.

Mfano anaweza kumdanganya mumewe kuwa mimi namtaka na nishawahi kumtongoza ila yeye akakataa.
 
Ilo lipo emu nambie mmepanga sehemu moja au kwa mwana na kwako ni mbali, ila umezoea kwenda kumsalimia.
 
Mcheki huyo manzi mwambie aje kwako kama huna wife afu ujue kama anautaka au keshapata wa kumburuza.
Nimepanga nitoke nae out mbali na maeneo tunayoishi tuongee nimsikilize alaf ndo nitaamua cha kufanya baada ya kusikiliza maongezi yake.
 
Kumbe upo kwenye kichwa changu, yaani unamsikiliza kwanza.
 
Ndio mkuu maana nisije kuchukulia kuwa naweza kumburuza kiurahisi alaf matokeo yake kumbe ndo naenda kuharibu kabisa kila kitu.
 
Msikilize kwanza kabla hujala shombo, mke wa mtu kondom muhimu, mi kuna huyo naenda kumla juma4 ila yeye mume wake hana muda naye na kaniganda atari.
 
Back
Top Bottom