Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

[emoji23] [emoji23]
Kutoka out , na kufanya hobbies pamoja nami naunga mkono hoja, ila kitendo cha kulala chumba kimoja? Hapana kwakweli, mfano unakuwa karibu na Dee' si mtanichambua mpaka nikufe..!!?
Naona sasa Carleen umepona ileee the so-called homa ya kushindwa kunusa; ^ati listi^ sasa unaweza kunusa na kuandika. Tulikwambia uondoe hofu, ukawa unabishana na wenzio wajuba. Pole lakini. Mie mapema nilijua hayo maradhi yako siyo ileee C (corona), bali C (lack of Vitamin C) -- ndiyo maana ulipotumia citrus components mpaka kombolela sasa unacheza. Hongera sana kwa kutahafifu & kutononoka.
 
Mimi shemeji wa kiume aje kusalimia na kusepa,wa kike hata akae miaka ni faida kwangu n watoto wangu
 
Unatupangia siyo??!!πŸ˜€
 
Hapo kwenye kupiga tungi sio ushauri mzuri,tungi linaharibu akili na mkishaelewa hakutakuwa na story tena mpaka asubuhi na shemejizo ni usingizi 444.

Sasa mbaya zaidi umelala na shemeji zako kitanda kimoja tungi mtu,ukashituka usingizini ukadhani umelala na wife.
Kifuatacho ITV.
 
Tatizo hana pesa bro, huyo ni mume wa dada sio shemeji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Shemeji ana raha akiwa na mtonyo wa maana na connections.Imagine wadogo zake mke wa Mo Dewji unafikiri wana shida na Mo au wanaweza kumletea mawenge.

Sio shemeji ambaye dadaako ndio anamfichia aibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu lazma umuone ndezi! Shemeji mnaenda bar anakutegemea wewe ndio umpe beer! Huyo ni mume wa dada hata ukimkwepa silaumu.
 
Kwani unataka ufiche nini ambacho hao shemeji hawakijui.

Kulala na shemeji zako na kumuacha mkeo peke yake chumbani ni ujinga wa kiwango cha CHATO.
 
Kama wewe una miongozo mizuri ya wazazi na walezi kwenye makuzi yako si uondoke, kwani umelazimishwa kusoma mada hii?
Hauwezi kuvua nguo mbele ya kadamnasi halafu ukasema hayawahusu ndio maana nasema akili yako haiko sawa
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kutoka out , na kufanya hobbies pamoja nami naunga mkono hoja, ila kitendo cha kulala chumba kimoja? Hapana kwakweli, mfano unakuwa karibu na Dee' si mtanichambua mpaka nikufe..!!?
😁😁😁😁😁
tunachambua kila angle na kila nukta. Usiombee tukaanza kujadili zile flaws zako maana kesho yake unaweza kupita tukaanza kucheka kama wapangaji wa uswazi
 
Mimi kama dada yako sipo tayari kulala bila shemeji yako
Sasa achague kati ya mke au shemeji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…