Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

Wa stendi ulikuwa hufanyi matusi na dada kabla hajaolewa kweli? 🤔
 
Rule No.1 Kulala na mashemeji ni Big NO NO NO, haijalishi iwe kwangu iwe ugenini iwe msibani. Ukishaoa dada yao then wakaja kwako ile ni himaya na heshima ya nyumba yako wakae tena kwa kutulia, kama vitu vipo usiwabanie mashemela waachie wajichane mpk wakasimulie kwao ila mwisho wa siku lala na mke wako kwa amani, hujaiba.

Rule No.2 Usiwe na urafiki wa karibu kiasi hicho na mashemeji wa kiume kwanza huo urafikia hamnaga. Kusocialize nao yes kuwa peace nao shangwe lakini iwe kwa kiasi na mipaka iwepo bcuz wanaume tunajijua tulivyo. Huwezi kula nao bata kma washkaji zako kwanza inategemea umri wao, hobbies na namna mlivyojuana.

Rule No.3 Mtoto wa kiume usijenge mazoea kwenda sana kwa dada yako tena mbaya zaidi unalala huko labda kma ni emergency. Salimia then amsha majeshi rudi home kuepusha ukakasi.
 
Rule No.3 Mtoto wa kiume usijenge mazoea kwenda sana kwa dada yako tena mbaya zaidi unalala huko labda kma ni emergency. Salimia then amsha majeshi rudi home kuepusha ukakasi.
Hii ni kawaida sana kwa makabila ya watu wa pwani lakini sisi wa bara ni mara chache saaaaana...
 
Rule No.1 Kulala na mashemeji ni Big NO NO NO, haijalishi iwe kwangu iwe ugenini iwe msibani. Ukishaoa dada yao then wakaja kwako ile ni himaya na heshima ya nyumba yako wakae tena kwa kutulia
Mimi kama shemeji ni age mate (rika moja na mimi) alafu sijamuona muda mrefu, tena mwaaana, lazima akija kwangu kulala siku ya kwanza nile naye bata na mziki plus story mpaka asubuhi...
 
SUBIRI UKIKUA. KWA SASA HUO UMRI WAKO UNAKUPA UHURU WA KUONGEA HAYA. UKUE NA UTOKE HAPO KWA SHEMEJI YAKO UELEWE MAISHA.
 
Kama shemeji yako ni rafiki yako mnaweza ku-spend the whole night talking politics, sports, economics na mambo mengine kadha wa kadha. Siku moja tu na sio siku zooooote...
Acha kurahisisha mambo kiasi hicho wewe, ulishawahi kujaribu hivo lakini au unaongea tu!
 
Mimi kama shemeji ni age mate (rika moja na mimi) alafu sijamuona muda mrefu, tena mwaaana, lazima akija kwangu kulala siku ya kwanza nile naye bata na mziki plus story mpaka asubuhi...
We utakuwa basha unataka umle dada mtu mbele na kaka mtu umle nyuma .otherwise umekurupuka kwa huu uzi.
 
Inabidi ule hii kitu
 

Attachments

  • CCE40E54-0698-463B-A75A-1D8A25586A65.jpeg
    127.3 KB · Views: 2
Ukakasi gani tena? Hivi unajua makabila yetu yanatofautiana mila na desturi?
 
Kama unapanga nyumba ya vyumba viwili ni sawa. Alafu huyo mtu ni mtu wa namna gani? ambaye atalala anapiga tungi na kesho aende kazini
hata kama amejiajiri? Kwa ushauri wako nadhani hakuna haja ya kumtembelea shemeji yako ukalala huko.
watembelee mchana,af rudi nyumbani kwako kapumzike, Kama umekuja wakutafutie kazi,basi kubaliana na mazingira utakayoyakuta
maana ''mtaka cha uvunguni sharti ainame''
 
Hii inaweza kusababisha pia wakuchukuloe vbaya wakuone ww muhuni itaonekana ndio tabia yako ya kukesha kwenye mabaa na kumuacha mkeo ndani na kufuata malaya wa mabaa na club...!!!

Kumbuka pombe, mziki na mademu ni ndugu wa damu kabisa hawaachani!!!

Nawasilisha!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…