Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Hakuna cha kuelewa hapo,mpuuze tu.
Kila nikijitahidi kukuelewa nashindwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila nikijitahidi kukuelewa nashindwa.
jamiiforums ina members zaidi ya 500,000 hivyo sipo humu kuandika jambo la kumfurahisha kila mtu.Hakuna cha kuelewa hapo,mpuuze tu.
Fikiria ndo wewe unaenda mji fulan kwa ishu zako,, unaona bora ulale kwa dada ako kwa kipindi hicho, alafu mumewe unafika muda wa kulala anakwambia "Leo shemeji tutalala pamoja"😂😂😂
Wa stendi ulikuwa hufanyi matusi na dada kabla hajaolewa kweli? 🤔Nasema ukweli mbele za mungu mpaka sasa aliemwoa dada yangu tangu siku ya harusi yao nishiriki tena kwa kushinikizwa huwa sipatani nae na hatujawahi onana kuanzia siku ile hadi anamulizaga sista amenikosea nini. Yaani simpendi na sijhi kwa nini hata sitaki kumwona.
Huu mwaka wa 5 tangu waowane. Na nimisikia anakuja home siku hiyo nachelewa makusudi kama siku aliokuja jitambulisha nilisacifi uongo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kawaida sana kwa makabila ya watu wa pwani lakini sisi wa bara ni mara chache saaaaana...Rule No.3 Mtoto wa kiume usijenge mazoea kwenda sana kwa dada yako tena mbaya zaidi unalala huko labda kma ni emergency. Salimia then amsha majeshi rudi home kuepusha ukakasi.
Mimi kama shemeji ni age mate (rika moja na mimi) alafu sijamuona muda mrefu, tena mwaaana, lazima akija kwangu kulala siku ya kwanza nile naye bata na mziki plus story mpaka asubuhi...Rule No.1 Kulala na mashemeji ni Big NO NO NO, haijalishi iwe kwangu iwe ugenini iwe msibani. Ukishaoa dada yao then wakaja kwako ile ni himaya na heshima ya nyumba yako wakae tena kwa kutulia
SUBIRI UKIKUA. KWA SASA HUO UMRI WAKO UNAKUPA UHURU WA KUONGEA HAYA. UKUE NA UTOKE HAPO KWA SHEMEJI YAKO UELEWE MAISHA.Mambo vp jamiiforums.
Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni.
Just imagine, kwa akili ile ya kitoto unajua kabisa huyu ndio anataka kumchukua dada yangu aende naye kwake awe analala naye siku zote for the rest of their lives. Huwaga kunakuwa na hali fulani hivi ya wivu kwa siku za kwanza ile baadae unaona kawaida tu na maisha yanaendelea.
Kuna watu watakuwa wanajiuliza wivu huu unatokea wapi wakati huyu ni kaka na dada yake na kamwe hawawezi kuoana. Wakaka wengi wanakuwaga na wivu na dada zao na mara nyingi jaribu kuangali watoto wakubwa wa kiume wanavyowachapa wadogo zao wa kike.
Huwa wanawachapa pindi wakisikia wadogo zao wapo katika uhusiano na vijana fulani wa mtaani hapo ambao ni washkaji zao wanaokaa wote vijiweni au siku dada mdogo amechelewa kurudi nyumbani bila maelezo ya kutosha. Hiyo ni aina ya wivu wa asili ambao wanaume wengi huwa nao dhidi ya ndugu zao wa kike wakiwa katika uchumba na shemeji zao.
BACK TO THE TOPIC
=====
Ewe kijana ambaye bado haujaoa mpaka sasa, siku utakapooa, shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao. Kalale nao chumba kimoja mpige story mpaka asubuhi.
Kama wao ni watu wa tungi kama wewe, siku hiyo nunua beer, choma nyama, kunyweni mlewe, msikilize mziki. Kama ni watu wa mpira, wachukue uende nao sehemu wanayoonesha mpira tofauti na hapo kwako.
Nenda nao hata huukoooo city center Kariakoo/Posta, angalieni mpira kula nao nyama choma, inelata raha na heshima sana. Unajua, unapoona katika familia fulani, wewe unakuwa ni sehemu ya familia ile. Hivi wewe kijana unalijua hili?
Kama mama mkwe wako ana watoto 3 wa kiume, basi wewe kama shemeji wa familia ile unakuwa mtoto wake wa 4. Kwa hiyo wale shemeji zako wa kiume wanakuwa brothers to you.
Wanakuwa brothers alafu washkaji zako, tena kama umri unalingana ndio raha zaidi kwa maana hata stories pamoja na interests zinaweza kufanana kwa sehemu kubwa.
Hata kama wamekuja kukaa kwa siku 5 tu, basi tenga siku moja ya kwanza kwa ajili yao.
Keep them close as if they are your siblings, na kumbuka kutokulala chumba kimoja na dada yao siku hiyo sio kwa sababu ya aibu bali inajenga "decency" na heshima ya aina fulani dogo lakini yenye maana sana.
OUR MOTTO: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
Maoni ya wadau
=====
Acha kurahisisha mambo kiasi hicho wewe, ulishawahi kujaribu hivo lakini au unaongea tu!Kama shemeji yako ni rafiki yako mnaweza ku-spend the whole night talking politics, sports, economics na mambo mengine kadha wa kadha. Siku moja tu na sio siku zooooote...
Ndio hivyo mkuu. Shemeji wa kiume ni kama kaka yako
We utakuwa basha unataka umle dada mtu mbele na kaka mtu umle nyuma .otherwise umekurupuka kwa huu uzi.Mimi kama shemeji ni age mate (rika moja na mimi) alafu sijamuona muda mrefu, tena mwaaana, lazima akija kwangu kulala siku ya kwanza nile naye bata na mziki plus story mpaka asubuhi...
Big NoNdio hivyo mkuu. Shemeji wa kiume ni kama kaka yako
jamiiforums ina members zaidi ya 500,000 hivyo sipo humu kuandika jambo la kumfurahisha kila mtu.otherwise umekurupuka kwa huu uzi.
Ukakasi gani tena? Hivi unajua makabila yetu yanatofautiana mila na desturi?Rule No.1 Kulala na mashemeji ni Big NO NO NO, haijalishi iwe kwangu iwe ugenini iwe msibani. Ukishaoa dada yao then wakaja kwako ile ni himaya na heshima ya nyumba yako wakae tena kwa kutulia, kama vitu vipo usiwabanie mashemela waachie wajichane mpk wakasimulie kwao ila mwisho wa siku lala na mke wako kwa amani, hujaiba.
Rule No.2 Usiwe na urafiki wa karibu kiasi hicho na mashemeji wa kiume kwanza huo urafikia hamnaga. Kusocialize nao yes kuwa peace nao shangwe lakini iwe kwa kiasi na mipaka iwepo bcuz wanaume tunajijua tulivyo. Huwezi kula nao bata kma washkaji zako kwanza inategemea umri wao, hobbies na namna mlivyojuana.
Rule No.3 Mtoto wa kiume usijenge mazoea kwenda sana kwa dada yako tena mbaya zaidi unalala huko labda kma ni emergency. Salimia then amsha majeshi rudi home kuepusha ukakasi.
Kama unapanga nyumba ya vyumba viwili ni sawa. Alafu huyo mtu ni mtu wa namna gani? ambaye atalala anapiga tungi na kesho aende kaziniama wao ni watu wa tungi kama wewe, siku hiyo nunua beer, choma nyama, kunyweni mlewe, msikilize mziki. Kama ni watu wa mpira, wachukue uende nao sehemu wanayoonesha mpira tofauti na hapo kwako.
Nenda nao hata huukoooo city center Kariakoo/Posta, angalieni mpira kula nao nyama choma, inelata raha na heshima sana. Unajua, unapoona katika familia fulani, wewe unakuwa ni sehemu ya familia ile. Hivi wewe kijana unalijua hili?
Mhhh, mtu kufanya matusi na dada yake wa tumbo moja? Mbona hii haijakaa poa kabisa mkuu.Wa stendi ulikuwa hufanyi matusi na dada kabla hajaolewa kweli? 🤔