Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

Shemeji zako wa kiume wakija kukutembelea, siku hiyo usilale na dada yao (Mke Wako). Kalale nao chumba kimoja

Mimi sikubaliani na mleta uzi,Kuna siku nimeenda Ukweni tukaambiwa tukalale nyumbani kwa Shemeji yangu wa kiume,nakwambia sikulazia damu nilimzibua wife vizuri,japo wife alikuwa hataki kisa tupo kwa brother wake nikasema Mimi nimekuoa kwa hiyo lazima nitimize wajibu wangu wa kukuhudumia km mwanaume.
 
Mkuu bado nakukumbusha hapa nia Tanzania 🇹🇿
 
Kunywa tutakunywa na kula tutakula vya kutosha ila kuto kulala na mke wangu hlo hapana..
 
Shemeji wa kiume ni rafiki mkuu
Ndio maana nikakwambia kwa ninyi Wajaluo aweza kuwa rafiki hata ndugu ila kwa Wasukuma haijawahi wala haitawahi. Nikuongezee kitu, ukimkuta Msukuma anaishi kwa shemeji yake, muulize vizuri kwa nin anaishi pale hata Mkurya.
 
Nyumba yangu,mke wangu silali na mtu yoyote zaidi ya mke wangu.Na sipangiwi chochote na mtu yoyote na wakileta ujinga hukohuko bar pia zinapigwa.
 
shem wangu ni best yangu vibaya mno coz tuna interest nyingi zinazofanana,kuna siku tupo baa si tukaanza kupiga stori za mademu!!! nilishasahau kama nipo na shem.mwisho wa siku akaniambia kumbe na wewe shem ni K..aisee nilishtuka kisogo nipate heart attack.sintokaa nisahau ile kitu
 
Kuna dogo alikua ana kaa kwa Dada yake sasa chumba chake kime pakana cha sister yake. Yule jamaa anapiga mapema tu makelele hadi dogo anashidwa kujiomea
 
Fikiria ndo wewe unaenda mji fulan kwa ishu zako,, unaona bora ulale kwa dada ako kwa kipindi hicho, alafu mumewe unafika muda wa kulala anakwambia "Leo shemeji tutalala pamoja"[emoji23][emoji23][emoji23]
Naanza Safari muda huo huo kurudi home [emoji23]
 
Kuna dogo alikua ana kaa kwa Dada yake sasa chumba chake kime pakana cha sister yake. Yule jamaa anapiga mapema tu makelele hadi dogo anashidwa kujiomea
[emoji23][emoji23][emoji23] alikua anafanya makusudi lol.
 
Kwa mahari hii waliyo nikomoa nayo shemeji zangu wakija dada yao mimi ni kumpelekea moto tuu mwanzo mwisho na ukizingatia nyumba haina ceiling habari wanaipata.
Siku hiyo moja potezea mkuu haupungukiwi na kitu
 
mtoa mada wala sijakuelewa,wivu wa dada yangu naanzaje sasa? ninyi ni wale mliokulia kota vyumba vinatazama seating room
Mkuu, wewe si ndio mwaka jana ulianzisha mada humu kuwa mdogo wako wa kike akichelewa kurudi home ulikuwa unamchapa?
 
Nikiwa kama mke! Hao Kaka zangu after stories na hizo nyama choma, watalala chumba chao mimi nalala na mume wangu bana. Yaani why akalale nao huko? No
Kwa hiyo unataka mfanye na mumeo wakati kaka zako wapo? Alafu si wanapiga stories tu yaaani weekend hiyo ni burudani mpira, music na zagazaga kibao.
 
Back
Top Bottom