cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji3][emoji3][emoji3] hadi wee hutaki lolUnatupangia siyo??!![emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3] hadi wee hutaki lolUnatupangia siyo??!![emoji3]
[emoji3][emoji3][emoji3]Siku akija baba mkwe utasema tuhame nyumba.
Pole sana mkuuNimejaribu kwa shemeji yangu wa kike, aisee umeniponza we jamaa
Ndio maana nikakwambia kwa ninyi Wajaluo aweza kuwa rafiki hata ndugu ila kwa Wasukuma haijawahi wala haitawahi. Nikuongezee kitu, ukimkuta Msukuma anaishi kwa shemeji yake, muulize vizuri kwa nin anaishi pale hata Mkurya.Shemeji wa kiume ni rafiki mkuu
Naanza Safari muda huo huo kurudi home [emoji23]Fikiria ndo wewe unaenda mji fulan kwa ishu zako,, unaona bora ulale kwa dada ako kwa kipindi hicho, alafu mumewe unafika muda wa kulala anakwambia "Leo shemeji tutalala pamoja"[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] alikua anafanya makusudi lol.Kuna dogo alikua ana kaa kwa Dada yake sasa chumba chake kime pakana cha sister yake. Yule jamaa anapiga mapema tu makelele hadi dogo anashidwa kujiomea
DooohSiku hiyo ndo ya kumpelekea moto wa kutosha dada yao
Kwanini?Siku hiyo ndo ya kumpelekea moto wa kutosha dada yao
Siku hiyo moja potezea mkuu haupungukiwi na kituKwa mahari hii waliyo nikomoa nayo shemeji zangu wakija dada yao mimi ni kumpelekea moto tuu mwanzo mwisho na ukizingatia nyumba haina ceiling habari wanaipata.
Mkuu, wewe si ndio mwaka jana ulianzisha mada humu kuwa mdogo wako wa kike akichelewa kurudi home ulikuwa unamchapa?mtoa mada wala sijakuelewa,wivu wa dada yangu naanzaje sasa? ninyi ni wale mliokulia kota vyumba vinatazama seating room
Kwa hiyo unataka mfanye na mumeo wakati kaka zako wapo? Alafu si wanapiga stories tu yaaani weekend hiyo ni burudani mpira, music na zagazaga kibao.Nikiwa kama mke! Hao Kaka zangu after stories na hizo nyama choma, watalala chumba chao mimi nalala na mume wangu bana. Yaani why akalale nao huko? No