Shemsa Mohamed Asema CCM Itaendelea Kuwa Daraja Kati ya Serikali na Wananchi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,430

SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI​

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi wanapata maendeleo .
WhatsApp Image 2025-06-06 at 02.10.46 (1).jpeg
WhatsApp Image 2025-06-06 at 02.10.47.jpeg
WhatsApp Image 2025-06-06 at 02.10.48.jpeg

“Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kuwa daraja imara kati ya wananchi na Serikali. Tupo Itilima kwa ajili ya kusikiliza, kushirikiana, na kuhakikisha kila kilio kinapata suluhisho. Huu ndio msingi wa uongozi wa CCM —kusikiliza na kutatua" Ndugu Shemsa Mohamed, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu
WhatsApp Image 2025-06-06 at 02.10.49.jpeg

Ndg. Shemsa Mohamed ameyasema hayo tarehe 05 June ,2025 akiwa Wilayani Itilima katika muendelezo wa Ziara ya Chama na Serikali ambapo aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Kenan Kihongosi pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali Mkoani Simiyu.
WhatsApp Image 2025-06-06 at 02.10.46.jpeg
 
SHEMSA MOHAMED ASEMA CCM ITAENDELEA KUWA DARAJA KATI YA SERIKALI NA WANANCHI​

Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu Ndugu Shemsa Mohamed amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuwa daraja kati ya Wananchi na Serikali katika kuhakikisha kuwa changamoto za wananchi zinapatiwa ufumbuzi na wananchi wanapata maendeleo .
View attachment 3357928View attachment 3357930View attachment 3357932
“Chama Cha Mapinduzi kinaendelea kuwa daraja imara kati ya wananchi na Serikali. Tupo Itilima kwa ajili ya kusikiliza, kushirikiana, na kuhakikisha kila kilio kinapata suluhisho. Huu ndio msingi wa uongozi wa CCM —kusikiliza na kutatua" Ndugu Shemsa Mohamed, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu
View attachment 3357933
Ndg. Shemsa Mohamed ameyasema hayo tarehe 05 June ,2025 akiwa Wilayani Itilima katika muendelezo wa Ziara ya Chama na Serikali ambapo aliambatana na Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe.Kenan Kihongosi pamoja na Viongozi wa Chama na Serikali Mkoani Simiyu.View attachment 3357927
Kaka Mshana Jr naomba uje utupe tafsiri ya lugha katika picha. Hizi picha nimeziangalia x7 hasa zenye mkusanyiko mkubwa wa watu. Kuna kitu nimetaka kusema ila nimekuita usaidie nisijekuwa nawaza tu kinyume
 
Ulishawahi kufika makaburini? Yale yaliyopambwa na kujengewa vizuri sana na kufanyiwa usafi wa haja? Lakini kuna ukimya wa kutisha.. Kwakuwa kilichofunikwa chini yake ni mauti na uvundo
 
Back
Top Bottom