Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
DESTURI.
Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao.
Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia mwaka 1775 wakati wa Vita vya Uhuru wa Marekani.
Bado natafiti.
Tusidharau vya Zamani jamani maana tunaheshimu mababu!
=====