Shenkin: Mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia Elizabeth II

Chogo ndingo upo? Naona leo, umepumzika na Vita ya Ukraine. Utakufa na usoshalisti

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
hahahahaha
we kweli jinga yaani vita ipiganwe huko mie huku nanjilinji nipaze shingo
hebu tafuta mchango wangu wowote kwenye mambo ya vita za hovyo
 
Vijana hamna shughuli ya kufatilia mkiona mtu, kaeleza kitu mnaeleta ubishi wa Ukraine Vs Russia. Kama ulikuwa ujui kama queen Elizabeth ni member wa Freemason na ni mkuuu ungenyamaza au ungeingia uko Google na kufatilia na sio kuropoka ropoka tuuu. Sisi tunasoma na kufatilia vitu haturopoki kama wewe unavyoropoka tuuuu. Au MTU kuwa Freemason mpaka awe ameandikwa kwy paji la USO. Soma majarida na ufatilie mambo na ndio urete ubishi wako wa kitoto wa Facebook

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
You're right. The monarch of the UK is the custodian of the Anglican Church similar to Pope for Catholics.
Pope hawezi kufananishwa na utawala wa kifalme wa Uingereza.
Kwasababu, Pope anapata nafasi hiyo ya kuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani kwa kusomea sana na hatimaye huchaguliwa wakati Malkia au Mfalme hurithi kwa kigezo cha kuzaliwa bila kujali maarifa ya mhusika.
 
The concept here is not the process to get the heads of the churches but their powers in the respective churches.
 
Shukrani mkuu
DESTURI.

Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao.

Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia mwaka 1775 wakati wa Vita vya Uhuru wa Marekani.

Bado natafiti.
Tusidharau vya Zamani jamani maana tunaheshimu mababu!

=====

View attachment 2361401
 
Vijana hamna shughuli ya kufatilia mkiona mtu, kaeleza kitu mnaeleta ubishi wa Ukraine Vs Russia. Kama ulikuwa ujui kama queen Elizabeth ni member wa Freemason na ni mkuuu ungenyamaza au ungeingia uko Google na kufatilia na sio kuropoka ropoka tuuu. Sisi tunasoma na kufatilia vitu haturopoki kama wewe unavyoropoka tuuuu. Au MTU kuwa Freemason mpaka awe ameandikwa kwy paji la USO. Soma majarida na ufatilie mambo na ndio urete ubishi wako wa kitoto wa Facebook

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Mtandaoni kuna mambo mengi sana, angalia sana na uchuje.
 
Vijana hamna shughuli ya kufatilia mkiona mtu, kaeleza kitu mnaeleta ubishi wa Ukraine Vs Russia. Kama ulikuwa ujui kama queen Elizabeth ni member wa Freemason na ni mkuuu ungenyamaza au ungeingia uko Google na kufatilia na sio kuropoka ropoka tuuu. Sisi tunasoma na kufatilia vitu haturopoki kama wewe unavyoropoka tuuuu. Au MTU kuwa Freemason mpaka awe ameandikwa kwy paji la USO. Soma majarida na ufatilie mambo na ndio urete ubishi wako wa kitoto wa Facebook

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
kajifunze kutofautisha kati ya r na l kwanza
 
Back
Top Bottom