Shenkin: Mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia Elizabeth II

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
DESTURI.

Nimemfuatilia huyu mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia maana ni wazi wenzetu wanaheshimu jadi zao.

Mbuzi anaitwa SHENKIN. Inasemekana mbuzi huyu anatokana na kizazi cha mbuzi waliokuwa wakitumiwa kama "hirizi?" wakati wa vita kwa karne nyingi. Mila hii ilianzia mwaka 1775 wakati wa Vita vya Uhuru wa Marekani.

Bado natafiti.
Tusidharau vya Zamani jamani maana tunaheshimu mababu!

=====

 
Mwafrika alishasahau Mila zake Kwa kigezo Cha dini

Sent from my RMX2189 using JamiiForums mobile app
 
Symbol ya mbuzi kwa Freemason ni Lucifer au shetani

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Hate siku anaapishwa mfalme last week walichinja mbuzi..
 
Si desturi, washirikina hao kizazi cha Lizabeti!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…