Shenkin: Mbuzi anayeonekana kwenye taratibu za msiba wa Malkia Elizabeth II

Mbuzi ni alama ya Satanism yenye nguvu sana, hivyo hapo zaidi ya mila kuna imani pia.. Kuna wale nyuki pia ambao nao kwa utaratibu maalum walijulishwa kifo cha malkia

Wale wapingaji wa mila hapa za kiafrika na kusema eti ni kutoendelea sijui hapa watasemaje, maana lingefanyika Afrika hili vichambo vingekuwa vingi
 
Kuna Mbuzi alitoka kwenye mstari akawa demoted baada ya ku behave vibaya kwenye sherehe ya kuzaliwa ya Queen
Mbuzi alikuwa mjeda mwenye cheo cha Lance corporal kuanzia 2001-2009
Alikuwa anaitwa Billy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…