Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

Sherehe ni za wanawake wote ila Mabango yote yana picha ya mwanamke mmoja tu!

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
Nilitaraji basi kuwe na Mabango ya wanawake wengi walio wahi kutoa mchango wao kwenye hili Taifa. Ila inaonekana mwanamke ni mmoja tu ni Mama, Wengine wote labda ni wanaume kwa mujibu wa chawa.

Ilipaswa kuwe na picha za wakina Bibititi Mohamed, Spika wa Bunge wa kipindi kile Anna Makinda,vna wa sasa na viongozi wengine.

Ila uwanja mzima umejaaa mabango yenye picha ya Mwanamke mmoja tu, Nyimbo uwanjani mzina zina mtukuza mwanamke mmoja tu, sasa hao wengine wameenda kufanya nini wanjani kama wao hawajulikani wala kuthaminiwq?


mbaya zaidi hata chawa wa kike wanajichukulia kama ni wanaume kwa siku ya leo.
 
Back
Top Bottom