Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Dini ni nini Kwani mkuu? Je unataka kusema ni uislamu na Ukiristo tu ndio dini?
We mtu amekwambia hiyo ni "Aqiqah" bado hujajua hawa wanazungumzia dini gani? Mkuu hebu jiongeze hatupimani argumentation skills tunasaidiana kueleweshana.
 
Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake
Hiyo taulo ya watoto aliyovaa king salah ndio wadhamini zama mwenyewe ziko hela mumewe kadhalika tabu lazima muione sana tafuteni hela ....acheni uchuro
 
we ni muislam au mkristo
unaijua DAMU ya NIFASI wingi wake uchache wake
Unajua maana ya AQIYQAH
unajua katika IMANI hekima ya Siku 3 siku 5 siku 10 siku 7 siku 14 siku 28 siku 40 na miezi 3
na ukisikia DUA we unaelewaje labda
 
Arobaini siyo sherehe ya kiimani najua utasema ya waislamu siyo kweli tutajie aya ulikoitoa hiyo arobaini. Arobaini ni mila Fulani Mimi nafananisha na ushirikina hivyo hata wangetambika uchi sawa tu
BTW inaonekana hata wewe hauko informed vizuri kuhusu asili ya adhimisho hili la 40. Hence judging aint a must.
 
hivi ruge akiona haya anajisikiaje mweeh!! nimeona MTU ametoa ahadi atatoa ticket ya ndege kwa juju na shuby kwenda south Africa kwenye birthday ya tifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…