Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Dini ni nini Kwani mkuu? Je unataka kusema ni uislamu na Ukiristo tu ndio dini?
We mtu amekwambia hiyo ni "Aqiqah" bado hujajua hawa wanazungumzia dini gani? Mkuu hebu jiongeze hatupimani argumentation skills tunasaidiana kueleweshana.
 
37151798_2543041689043136_5714600836554817536_n.jpg
37425215_2065960870088964_4088997526525444096_n.jpg
37120947_280947865842422_134055717538627584_n.jpg
37134183_305431583333618_3613639612880125952_n.jpg
37065391_852275878303040_2189565402558758912_n.jpg
36883120_268321777098299_2366965238558883840_n.jpg
37151798_2543041689043136_5714600836554817536_n.jpg
37065391_852275878303040_2189565402558758912_n.jpg
37425215_2065960870088964_4088997526525444096_n.jpg
37425215_2065960870088964_4088997526525444096_n.jpg
37134183_305431583333618_3613639612880125952_n.jpg
 
Nashangaa kweli sherehe ya kiimani kuwa ya kidunia. Sema kapigia mahesabu hela hapo mkuu maana anajua mastaa wanapenda sifa watashindana kumtunza wakati yeye anarudisha gharama zake
Hiyo taulo ya watoto aliyovaa king salah ndio wadhamini zama mwenyewe ziko hela mumewe kadhalika tabu lazima muione sana tafuteni hela ....acheni uchuro
 
Unajua jamaa haujielewi aisee hivi maswala ya arobaini ni dini au duwaa? Unaweza kuthibitisha kutoka katika vitabu vya dini kwa kutaja aya inayozungumzia arobaini? Au unafuata mkumbo? Mambo ya arobaini ni mila tu na utaratibu kwa hiyo sioni kwamba kunahitajika heshima au kitu chochote wapo sahihi na hakuna walichokosea.
we ni muislam au mkristo
unaijua DAMU ya NIFASI wingi wake uchache wake
Unajua maana ya AQIYQAH
unajua katika IMANI hekima ya Siku 3 siku 5 siku 10 siku 7 siku 14 siku 28 siku 40 na miezi 3
na ukisikia DUA we unaelewaje labda
 
Arobaini siyo sherehe ya kiimani najua utasema ya waislamu siyo kweli tutajie aya ulikoitoa hiyo arobaini. Arobaini ni mila Fulani Mimi nafananisha na ushirikina hivyo hata wangetambika uchi sawa tu
BTW inaonekana hata wewe hauko informed vizuri kuhusu asili ya adhimisho hili la 40. Hence judging aint a must.
 
hivi ruge akiona haya anajisikiaje mweeh!! nimeona MTU ametoa ahadi atatoa ticket ya ndege kwa juju na shuby kwenda south Africa kwenye birthday ya tifa
 
Back
Top Bottom