Sherehe ya 40 ya Mtoto wa Zamaradi Mketema

Dah Ila Zamaradi wa kawaida mno sema jina lake ndo linalombeba!
 
Katika kuadhimisha 40 ya mtoto wa Zamaradi Mketema siku ya jana wakati Jokate ameitwa pale mbele kwenda kutoa zawadi MC alisikika akisema "Jokate, Jokate mama wa taifa"

Kauli hii inamaana gani? Je, kauli hiyo inathibitisha taarifa aliyoianzisha Mange kwamba Jokate sasahivi anatembea na bwana mkubwa "Jiwe"? Kwanini alimwita mama wa taifa
 
Masahihisho ktk upotoshwaji wa taratibu za Islam

Kama ni suala la uzazi bhas hiyo 40 ni yake yeye bi Zamaradi na siyo hicho kichanga. Ktk Islam, 40 ni kukamilika/ukomo wa mzazi kuvujwa na damu ya nifas baada ya kujifungua. Kwa upande wa kifo, 40 kwa baadhi ya waislam ina maana nyingine

Ama kukhusu kichanga, yeye ana 7 kwa ajili ya akika, sio 40
 
we ni muislam au mkristo
unaijua DAMU ya NIFASI wingi wake uchache wake
Unajua maana ya AQIYQAH
unajua katika IMANI hekima ya Siku 3 siku 5 siku 10 siku 7 siku 14 siku 28 siku 40 na miezi 3
na ukisikia DUA we unaelewaje labda
Mkuu usitake kubisha hiyo alioifanya Zama ni dua au Tambiko??
 
Hawa ndio maskini wa kutupwa kama huelewi, maisha yao ya Instagram ni maigizo tu, siku hizi wanakunywa konyagi wanasingizia wanakata mafuta kumbe urongo mtupu ni hali ngumu.
Fake people, fake life. Mimi kinachoniuma sana tena sana wakipata shida vilio na Gov wanaingilia kuwachangia watu ambao hawaingizi kitu serikalini. Kuna watu wanamchango mkubwa kwa kufanya kazi kwa bidii lakini hakuna msaada wowote na hii ndio inachangia kuwa na kizazi fake kama hawa kina dada. Hakuna tatizo na kufanya 40 ni family zote wanafanya na kufurahi. ila mimi binafsi tu hawa watu wanaojiita mastaa sijui ustaa wa nini hata sijui. watakuja kuzeeka vibaya hawa maana hata edit zitakataa
 
Maelezo yako ya 40 ni 100% facts na ndio hasa maana yake ila wazee wa zamani hawakutaka kupeleka ujumbe direct kulinda heshima ya kina mama na kusema 40 ya mtoto lakini hasa ni 40 ya mzazi kuwa sasa anaweza kukutana na mume wake na ndio mke huwa anapambwa kama bibi harusi ila mtoto inatumiwa kupoteza lengo lile kulinda heshima maana kuna mambo zamani linafumbwa wakubwa tu wanaelewa. kwa ufupi maelezo yako hayahitaji zaidi kuongeza ni 40 ya mama mtoto anatumiwa tu kuficha lengo.
 
Nimestuka! Nimezoea "40" ni kwenye misiba zaidi.

Kila la heri wazazi. Hivi Ruge yupo?
 
Wema alikatwa wapi utumbo naona ameanza kubadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…