Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
 
Sasa kama umetukuta tunashehereka miaka 800 ya mwaka mpya kuna ubaya gani ukituunga mkono...

Mbona Eid El Fitr tunakula ubwabwa pamoja?

Sisi ni ndugu hizi dini tumeletewa tu. Vinginevyo unataka hata tarehe za mishahara zifuate imani za kidini...

Heri ya mwaka mpya mkuu ndugu yangu
 
Kwani wanaovuka mwaka ni wakristo tu....aisee....tunakoelekea hizi dini hizi..daah
Waislam wana kalenda yao hujawahi kusikia mwezi wa shaaban, rajab, ramadan

Au hujawahi kusikia mwaka mpya wa kichina

Wahindi,wayahudi wote wana kalenda zao kutokana na tamaduni zao

Lakini kalenda tunayotumia sasa ya kikristo ya papa Gregorian ndo ya kisasa na imemeza kalenda nyingine zote
 
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Ndio unajua leo? Tuambie huu ni mwaka gani. Hiyo miaka yenu ya kiislamu matumizi yake ni misikitini. Acha unafiki kijana.
 
Back
Top Bottom