Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwenguKwani wanaovuka mwaka ni wakristo tu....aisee....tunakoelekea hizi dini hizi..daah
I miss you too sweetheartKwani wanaovuka mwaka ni wakristo tu....aisee....tunakoelekea hizi dini hizi..daah
Thanks muchI miss you too sweetheart
Huyo jamaa alikuwa na akili sana aisee.Kuna watu wanateseka sana hapa Duniani, huyu aliyebuni na kuzianzisha dini alijua kuwanyoosha binadamu.
Waislam wana kalenda yao hujawahi kusikia mwezi wa shaaban, rajab, ramadanKwani wanaovuka mwaka ni wakristo tu....aisee....tunakoelekea hizi dini hizi..daah
Ndio unajua leo? Tuambie huu ni mwaka gani. Hiyo miaka yenu ya kiislamu matumizi yake ni misikitini. Acha unafiki kijana.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?