Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Kwani cheti chako cha kuzaliwa kimeandikwa mwaka gani Mkuu?
 
Siyo kwamba we ndo hujui? Waislam wanajua na hawasherehekei mwaka mpya na wanayo calender yao mwaka mpya wao ulishapita siku nyingi
 


Sasa hizo aya ulizotoa ziunganishe na hii aya hapo chini ndipo utajua hizo aya zina maana gani.👇🏻

 
Ni bora na inapendeza sana tukikaa pamoja, tukila pamoja na kufurahi pamoja. Afterall Baba wa waislam na wakristo ni mmoja ila alizaa na wake wawili. Watoto wa mama mkubwa ni Wakristo, watoto wa mama mdogo ndo Waislam. Ni historia ndefu kidogo lakini wengi wanaelewa. Sasa inakuwaje choko-choko hadi mambo ya kalenda???
 
Saaaafiii.... Unamshukuru Alah kwa neema alizokujalia katika Mwaka wa Kalenda ya Kanisa ulioanzishwa na Papa Gregory.

Safi kabisa, hilo ndio jibu nililokuwa nalitaka

Sasa mnapoambiwa kuwa Ukristo ndio unarun dunia na dini yenu nyie ni bado sana muwe mnaelewa.
 
Kwa hiyo Waafrika tunatakiwa kufuata kalenda yetu? Tulikuwa na kalenda ya namna gani kabla ya watu weupe kuja?
 
Hamusherehekei mwaka mpya...ila mwaka huo huo mnautumia Msikitini na kwenye maisha yenu ya kila siku.

Hahahaha
Hakuna msikiti unaotumia huu mwaka wala miezi hata ukiskia mwezi wa ramadhan hilo ni jina la mwezi Kama ilivyo mwezi July ndo maana huwa haiendani na hii miez ya kawaida kila mwaka unahama kwahiyo siyo kweli kwamba misikiti inafata hii miez au huu mwaka

Sawa dogo?
 
Mkuu mdukuzi hiyo mmevamia wenyewe sisi hatuhusiki na hizo sherehe hata tone, tuna sherehe mbili tu kwa mwaka mzima eid ya mfungo wa ramadhani na eid ya kuchinja basi.

Hayo mengine mmejitakia wenyewe na kujipendekeza kwenye mambo yasiyowahusu, halafu swali zuri tu mwaka mpya wetu sisi wa hijriyyah wala hatusherehekei kwasababu hatujapokea chochote kutoka kwa watangulizi wetu kuwa walisherehekea mwaka mpya wa kiislamu, iweje tukimbilie huu wa miylaadiyyah?!.
 


Wewe fikra zako ni za kitoto sana, sikia; Gregorian Calendar ni kama tool tu ya kufanyia kazi haijalishi ni nani kagundua hiyo tool cha msingi tool hiyo ni Useful kwetu na haipingani na imani zetu basi, Narudia kusema; Mtume wetu Muhammad (saw) amepata kusema; "Jambo lolote jema ni sawa na hazina iliyopotea ya Muisilamu mlichukue popote mlionapo"--- sasa hiyo kalenda inasaidia kujua nyakati mbalimbali sasa tuiache??, mbona Waisilamu ndio waanzilishi wa elimu hizi za "zinazoitwa za kizungu", Wazungu walijifunza elimu hizo kutoka kwa Waisilamu (eg Avecena nk) ndipo wakaziendeleza hadi hii leo wamekuwa masters. Kama hao wazungu wangalikuwa na akili za fanatism kama zako leo wangalikuwa hapa walipo??!!

Kwa Sisi waisilamu sio dhambi kuchukua jambo lolote jema kutoka kwa Yeyote yule awe mpagani, Muhindu, Mkristo nk. na hiyo ndio AKILI.
 
Sasa hizo aya ulizotoa ziunganishe na hii aya hapo chini ndipo utajua hizo aya zina maana gani.👇🏻

View attachment 2467592

Sina haja ya kuunganisha maana tunashuhudia waislamu wakichinja watu, hivyo wao ndio uwaambie waunganishe maana nyote mnampigania 'mungu' wenu huyo aliyewapa hayo maagizo, ila kwa kifupi maagizo tunayaona in black and white tena bila kupiga chenga, mmeagizwa kuwachinja wasio wa hiyo dini

Verses that instructs killings in quran
“Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; nehead them when you catch them – 47.4”
 


Kama unafundishwa ukweli na hutaki kuukubali basi wewe unayo Chuki binafsi isiyokuwa na msingi dhidi ya Uisilamu, sasa siwezi kukulazimisha ukubali kwani huwezi kumuamsha mtu anayejifanya kalala bali unaweza kumuamsha mtu aliyelala, wewe umejifanya kulala.
 
Keshokutwa Ijumaa ukienda msikitini kuswali itakuwa ni tarehe ngapi?
 
Kwa hiyo hamusherehekei, lakini munautumia mwaka huohuo (Wa wakristo) kupanga mipango yenu ya kila siku....


Aiseeee
 
Tulishamalizana mkuu, ulisema kuwa Unamshukuru Alah kwa Neema alizokujalia katika mwaka ulioanzishwa na Kanisa.

Hapo tulishamaliza... asante sana kwa kukiri hilo.
 
Halafu kitu kingine, hiyo Tool (Calender), si inahesabiwa tangu kuzaliwa kwa Yesu yule Mwana wa Mungu aliyesulubiwa?

Huu ni mwaka 2023 AC, maana yake huu ni mwaka 2023(After Christ) Baada ya Kristo.

Kristo huyo ni yule Aliyekufa na Kufufuka (According to Papa Gregory & the Catholic Church)

Kwa nini sasa mnatumia kitu cha kikafiri namna hii?
 


Hiyo imani kwamba Yesu alikufa, akafufuka nk, hiyo imani haina faida kwangu bali inakufaa wewe chenye faida kwangu ni hiyo kalenda faida kwa kwa ajili ya (matumizi ya muda) tu., ni kalenda ya kikafiri (kama unavyodai) yenye faida kwetu, mtume (saw) amesema tuchukue kitu chenye faida KUTOKA POPOTE.
 
Na nikwanini hao waonyaji wametokea hapo mashariki ya Kati tu? Kwanini isiwe China India amerika nakadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…