Sasa kama unatambua kesho ni tarehe 4 na huoni dhambi kuitambua hiyo tar 4, kwa nini iwe dhambi kusherehekea tarehe 1?Hakuna ubaya kutumia vitu vya kilimwengu kwenye mambo ya kilimwengu, kuna ubaya gani kukwambia tutaonana kesho tarehe 4 na ndio tarehe pekee unayoijua?.
Sasa kama huoni shida kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibar ( yasiyohusiana na uislam) kwa nini uone shida kusherehekea Mwaka mpya?Mtu akisherehekea mapinduzi ya zanzibar jambo la kiserikali, uislamu unahusikaje?.
Kusherehekea kwetu sisi ni ibada na ibada zote kwenye uislamu zina muongozo wake maalumu si kila mtu anatumia akili yake tu kubuni, so maadam hatujaambiwa tusherehekee sisi hatujihusishi nayo.Sasa kama unatambua kesho ni tarehe 4 na huoni dhambi kuitambua hiyo tar 4, kwa nini iwe dhambi kusherehekea tarehe 1?
Mkuu nipumzishe sisi hatutumii akili wala falsafa kwenye dini yetu, tunatumia miongozo maalumu kutoka kwenye Quran na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia, hizo comparison za sherehe za mapinduzi na ibada sidhani kama ni pahala pake.Sasa kama huoni shida kusherehekea Mapinduzi ya Zanzibar ( yasiyohusiana na uislam) kwa nini uone shida kusherehekea Mwaka mpya?
Hakuna ardhi wala kijiji chochote isipokuwa mtume alipelekwa kuwaonya watu wake, ni mtu asiye na akili pekee atakayeamini kuwa mitume walitokea mashariki ya kati pekee.
amesema allah hali ya kuwa ametukuka: "....na hapana uma wowote isipokuwa alipita kati yao muonyaji.."
QURAN 35:24
Unachopaswa kukijua ni kuwa kuna mitume wametajwa kwenye quran na wengine hawakutajwa.
"Na mitume tuliokwisha kukusimulia habari zao hapo kabla, na mitume wengine ambao hatukukusimulia habari zao, na allah alizungumza na musa kwa maneno.."
Quran 4:164
shukran.
Huwezi kuitenganisha hiyo kalenda na Yesu Kristo kwa sababu yenyewe inahesabiwa kutokea kuzaliwa kwa Kristo.
Yesu Kristo ndio msingi wa hesabu ya hiyo miaka.
Yani unaposema huu ni mwaka 2023, maana yake ni mwaka 2023 baada ya Kuzaliwa Yesu Kristo Mwana wa Mungu.
Happy New Year 2023.
Sawa, usahihi ni kwamba utume ulishakoma zaidi ya miaka 1000 iliyopita sasa hivi tunasubiri siku ya qiyama tu.Mbona mnakataa mtume na nabii Mwamposa. Mnadai mtume hawezi tokea mbeya
Pepo trokaaaaaaaaaHii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
🤣🤣🤣🤣Pepo la kujikweza unaishi masaki wakati unaish mto wa mbu trokaaaaaaaaa trokaaaaaaaaa trokaaaaaaaaaWatu wa masaki huwa hatuna hayo mapepo,labda huko kwenu uswahilini
Pepo la ujuaji Pepo la kuongea ushundundu trokaaaaaaaaa trokaaaaaaaaa trokaaaaaaaaaMasaki pia wanaishi binadamu tu kama wewe acha uoga
Pepo la uroho trokaaaaaaaaa trokaaaaaaaaa trokaaaaaaaaaSitokiiiiiiiii
Niletee kuku wa kubanikaaa
Sitokiiii
Sherehe ya Uhuru,Muungano na Mapinduzi ya Zanzibar mnayosherehekeaga, mumeambiwa na Nani musherehekee?Kusherehekea kwetu sisi ni ibada na ibada zote kwenye uislamu zina muongozo wake maalumu si kila mtu anatumia akili yake tu kubuni, so maadam hatujaambiwa tusherehekee sisi hatujihusishi nayo.
Usikimbie swali langu kijanja...Mkuu nipumzishe sisi hatutumii akili wala falsafa kwenye dini yetu, tunatumia miongozo maalumu kutoka kwenye Quran na sunnah kwa ufahamu wa wema waliotangulia, hizo comparison za sherehe za mapinduzi na ibada sidhani kama ni pahala pake.
Sasa kama kalenda inakusaidia kufanya shughuli zako na kukusaidia kujua nyakati, kwa nini uone ni dhambi kusherehekea tarehe 1 January ya hiyo kalenda?Hata kama siwezi kuitenganisha na kuzaliwa kwa Yesu lakini kuzaliwa huko ni historia tu ambayo mimi hainisaidii kitu katika matumizi yangu ya hiyo kalenda, hiyo kalenda inanisaidia kujua nyakati mbalimbali, kwa ugunduzi huo wa kalenda inayosaidia watu huyo Papa siku ya Qiyama Mungu atamlipa ujira wake.
Sitoooki nanena kwa lugha
Baraaaaka obama shika raba zako rete ndara zangu shakatsbaaaaa