Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

Kitimoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2012
Posts
6,941
Reaction score
7,808

Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina​













 
Imependeza sana! Seems Arabs are good people tatizo udini hasa udini wa kujiona wengine wasiokuwa dini yao hawastahili kuwepo ndio unawaharibu.
Hiyo ni imani ya watu wachache sana, ila kiujumla waislamu na wakristo wanaishi kwa pamoja kwa amani kabisa.
 
That Jesus Christ is LORD. Sio kwa majambia au risasi au mabomu ila kwa kukiri kwa kinywa bila kulazimishwa na yeyote.
Au siyo!!
 

Attachments

  • FB_IMG_1733849512712.jpg
    FB_IMG_1733849512712.jpg
    46.2 KB · Views: 1
Unataka kuleta udini...
Nonsense
 
Watu hawajua kama Iran (Persian) sio waraabu hata sijui kwann Huwa wafikiria Iran ni waraabu au wanashindwa kutofautisha waraabu na waaislamu
Kwa muktadha wa uzi huu hilo kosa kwamba Iran ni nchi ya kiarabu au la athari zake ni insignificant.

Uzi ungekuwa unazungumzia kwa mfano DNA za wairan na kuhitimisha ni waarabu that error would be extremely significant.

Mfano mwingine; unapozungumzia muda in astronomy especially the universe kosa la ku-neglect a year halina athari kubwa. But in electronics a millisecond is extremely important.

Tujifunze kuangalia vitu kwa muktadha wake badala ya kukomalia vi-issue vidgo dogo visivyo na maana.
 
Iran sio nchi ya kiarabu.

Umeishia darasa la ngapi bwana mdogo ?
Ikikupendeza; msaidie uelewa kwani wengi wetu (hata mm) nilijua Iran ni nchi ya Waarabu au ni mojawapo ya nchi za Kiarabu. Kumbe nilichemka kabisa.
 
Back
Top Bottom