Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

Kwani ni wapi imezuiliwa (kifungu gani)watu wasifanye ngono na malaya siku ya Christmas??
Imezuiliwa na nani? Christmas haipo hata kwenye Biblia, sasa unataka kufanya ngono na malaya siku ya Christmas kuzuiliwe wapi katika mazungumzo ya muktadha huu?

Kwenye Biblia zinaa imekatazwa, hujui hilo?
 
We ni kubwa jinga
 
Sio tu zinaa imekatazwa kwenye biblia bali hata kwenye jamii wasioijua biblia imekatazwa au haikubaliki i.e. moral standards au Natural laws hazikubaliani na kitendo hicho.
Hakuna aliyezuia ngono siku ya Krismasi. Na kama Krismasi haipo basi hayo mengine hayana mashiko pia.
 
Kama zinaa imekatazwa kwenye Biblia wanaosherehekea Christmas kwa kuzini siku ya Chrismas hawawezi kuwa wanampigia magoti Yesu, bila kujali kama Christmas imeandikwa au haijaandikwa kwenye Biblia.

Naonesha ujinga wa kauli ya kwamba kusheherekea Christmas ni kumpigia magoti Yesu.

Kuna Wajapani hata hawamjui Yesu wanashereheka Christmas tu.
 
Ni jambo jema. Hayo mataifa ya Mashariki ndiyo yalikuwa ya mwanzo kuupokea ukristo. Baadaye yakamwacha Masiha aliye ufufuo na uzima.

Lakini ukweli ni kwamva, nyakati zinakuja ambapo Dunia nzima, watu watakiri Yesu ni Bwana. Yesu hatarudi mpaka Injili iyafikie mataifa yote na watu wake, kisha watu waamue wenyewe, waikatae au waikubali, ili siku ya hukumu, adiwepo wa kusema kuwa hakujua.
 
Ikikupendeza; msaidie uelewa kwani wengi wetu (hata mm) nilijua Iran ni nchi ya Waarabu au ni mojawapo ya nchi za Kiarabu. Kumbe nilichemka kabisa.
Wairani ni waajemi.
 
North Korea hata hawasherehekei Christmas.

Na kuna watu wanasherehekea sikukuu nyingi tu kupata good time si kumpigia magoti mwenye sherehe.
Hao waache tu wauawe na Ukraine wapukutike
 
Lebanon sio nchi ya kiarabu wao ni Phonecian ukitaka ugomvi na Mlebanon muite muarabu ukome..
Na vile vile Phoenicians walivamiwa na Arabs wachache katika nchi ya kikristo Arabs kama kawaida yao wake wanne kila mke watoto zaidi ya wawili so wamejazana hadi wanataka nchi iitwe Arabs country

Pia Iran sio Nchi ya kiarabu wao ni Persian aka Waajemi
 
Back
Top Bottom