Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Mimi nilijua YESU KRISTO kwa kiarabu ni issa sasa nawasikia waarabu wenye kiarabu chao wanamuita YASHUA ndo nabaki nashangaaIssa bin mariam ni mtume wa waislam kama ilivyokua kwa muhammad. Wakristo tunamtambua Yesu wa Nazareth mkombozi wa ulimwengu na sio Issa