Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab

Ikikupendeza; msaidie uelewa kwani wengi wetu (hata mm) nilijua Iran ni nchi ya Waarabu au ni mojawapo ya nchi za Kiarabu. Kumbe nilichemka kabisa.
Iran ni Persian au uajemi

Wale ni wa ajemi
 
Mbona nawasikia hapo wanamuita YESU KRISTO YASHUA wala hawamuiti issa bin Mariam

Naomba majibu hapo
 
Kwa ukweli Christmas ni sikukuu moja ya tamu Sana
"Mungu pamoja nasi" haiwezi kuwa shughuli ya kitoto Mkuu. Hadi malaika "wakaserebuka" usiku ule kwa kuzaliwa mtawala duniani haijapata wala haitapata kutokea tena. Ndio maana Shetani na wafuasi wake wanajitahidi kuipotosha ionekane sio kitu but wamekwama. Yesu Kristo ni Mungu. Amen.
 
Inapendeza sana

"Every knee shall bow and every tongue shall confess"
North Korea hawana Christmas.

Pia, Christmas ni sherehe ya kutungwa na watu tu hata kwenye Biblia haipo.
 
Kwamba Yesu hakuzaliwa au?
North Korea hata hawasherehekei Christmas.

Na kuna watu wanasherehekea sikukuu nyingi tu kupata good time si kumpigia magoti mwenye sherehe.
 
North Korea hawana Christmas.

Pia, Christmas ni sherehe ya kutungwa na watu tu hata kwenye Biblia haipo.
Mkuu kwani kila kitu lazima Biblia iseme? Wewe huadhimishi siku ya kuzaliwa kwako? i.e. birth day yako?.
Mbona imeandikwa kwenye biblia: ".....Malaika akawaambia, "Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu kwa watu wote. 11 Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili yenu,..................
13Mara kundi kubwa la jeshi la mbinguni likajiunga na huyo malaika, wakamsifu Mungu wakisema: 14Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa nao! (Luka 2: 8-14) Je, sisi haifai kuwa na furaha kuu kuisifu siku hiyo ya kuzaliwa kwake?
 
Safi sana Mkuu. Malaika ambao hawakuhitaji ukombozi walisifu kwa shangwe kuu Mbinguni huko kuzaliwa kwa Mwokozi. Ajabu anatokea masalia anasema Krismasi haina maana! Krismasi ni furaha kuu sawa sawa na ujumbe wa malaika.
 
Mkuu kwani kila kitu lazima Biblia iseme? Wewe huadhimishi siku ya kuzaliwa kwako? i.e. birth day yako?.
Mbona imeandikwa kwenye biblia: ".....Malaika akawaambia, "Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kuu kwa watu wote. 11 Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili yenu,..................
13Mara kundi kubwa la jeshi la mbinguni likajiunga na huyo malaika, wakamsifu Mungu wakisema: 14Utukufu kwa Mungu juu mbinguni, na amani duniani kwa watu aliopendezwa nao! (Luka 2: 8-14) Je, sisi haifai kuwa na furaha kuu kuisifu siku hiyo ya kuzaliwa kwake?
Nakwambia hivi, kusheherekea Christmas si kumpigia magoti Yesu, watu wanasherehekea huku wanafanya ngono na malaya.

Sasa hivyo ndiyo kumpigia magoti Yesu?
 
Kwani ni wapi imezuiliwa (kifungu gani)watu wasifanye ngono na malaya siku ya Christmas??
 
Back
Top Bottom