Mimi nilijua YESU KRISTO kwa kiarabu ni issa sasa nawasikia waarabu wenye kiarabu chao wanamuita YASHUA ndo nabaki nashangaaIssa bin mariam ni mtume wa waislam kama ilivyokua kwa muhammad. Wakristo tunamtambua Yesu wa Nazareth mkombozi wa ulimwengu na sio Issa
Mambo yanabadilika ila kichapo pia kimesaidia sana hao jamaa kuheshimu dini za watu.Ustaarabu umeingia mashariki ya kati, kuheshimu imani ya mwingine ni jambo jema
Haisaidii kitu na hizi porojo zenu. Mashoga wapo kila mahali kama ambavyo u shoga na wewe.
Bro, usilazimishe mambo. Kasome hiyo sura yote, kama umeweza kunukuu kutoka kwa Biblia andiko hilo, why ushindwe kusoma mistari zaidi ya 5 hata page moja haifiki? Ukristo haukuenezwa kwa bunduki, Yesu hakuwahi kuua yeyote, hata waliokuja kumkamata, wanafunzi wake walitoa panga ili wawaue, in fact Petro alimkata sikio mmoja wao BUT Yesu aliwazuia wanafunzi wake na akamponya majeruhi yule; sasa nenda kasome habari za Mohammed, just in 10 years of his rein, kapigana vita 83, kwa wastani, mwaka 1 tu Mohammed kapigana vita 8.3, just imagine. Then leo tutaeashangaa Waislamu kupenda mauaji?Au siyo!!
Wamekinogesha kuliko hata sisi wagalatia.Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina
View attachment 3184780
View attachment 3184781
View attachment 3184782
View attachment 3184783
View attachment 3184785
View attachment 3184786
Wamekinogesha kuliko hata sisi wagalatia.Sherehe za Krismasi Mwaka Huu Kwenye Baadhi ya Nchi za Kiarab ikiwemo watu wa Palestina
View attachment 3184780
View attachment 3184781
View attachment 3184782
View attachment 3184783
View attachment 3184785
View attachment 3184786
Exactly yes. Yesu sio nabii Issa, nabii Isa ni kitu kingine kabisa. Yesu alizaliwa Bethlehem kwenye hori la ng'ombe. Huyo mwingine (Issa) alizaliwa chini ya mtende huko jangwani.Confirmed, Yesu sio nabii Issa, nabii Isa ni kitu kingine kabisa. Sikiliza video ya kwanza, wanatamka kitu kama Yesu na lugha wanayo tumia ni Kiarabu, so asitokee muislam mmoja akadanganya eti nabii Isa ndio Yesu kwa Kiarabu, UONGO. Swali ni je, kwanini Quran ilibadiri jina la Yesu tofauti na Yesu anavoitwa kwa Kiarabu? Lazima ipo sababu
Wanasherehekea siku ya kuzaliwa Kim Il Sung tarehe 15 Aprili na Kim Jong Il tarehe 16 FebruariNorth Korea hawana Christmas.
Pia, Christmas ni sherehe ya kutungwa na watu tu hata kwenye Biblia haipo.
Kabisa na hakuna sikukuu kama hiyoKwa ukweli Christmas ni sikukuu moja ya tamu Sana
Hii itawaumiza sana akina Kimsboy,Ajuna Faizafox na mavaa kobazi mengine hayakawii kusema hao siyo waarabuConfirmed, Yesu sio nabii Issa, nabii Isa ni kitu kingine kabisa. Sikiliza video ya kwanza, wanatamka kitu kama Yesu na lugha wanayo tumia ni Kiarabu, so asitokee muislam mmoja akadanganya eti nabii Isa ndio Yesu kwa Kiarabu, UONGO. Swali ni je, kwanini Quran ilibadiri jina la Yesu tofauti na Yesu anavoitwa kwa Kiarabu? Lazima ipo sababu
Ndio siyo lakini kuna arabs minorities living there especially in western Iran.Iran sio nchi ya kiarabu.
Umeishia darasa la ngapi bwana mdogo ?
Kwa kimsboy hapana jamaa huwa anaisheherekea kila mwaka migombani licha ni Kobaaz na gambe anapiga kama kawa.Hii itawaumiza sana akina Kimsboy,Ajuna Faizafox na mavaa kobazi mengine hayakawii kusema hao siyo waarabu