Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Eeh 'afadali' maana nilitishika. Sasa mbona hujanialika kwenye hii Dhifa ya kitaifa mimi hata habari sina mwenzio

nitakualika kwenye kokteli pale magogoni usiku, tukale bata.
 
ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue

huh ......mie nitakujibu la tai bora ....

tai nyekundu ndo kaambiwa inakwendana na ile suit na hasakwa ajili ya shughuli ya asubuhi (au ulitaka lazima iwe ya kijani rangi ya chama?)
 
ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue

Shekhe ni kiongozi wa kidini
Wazee wawili ni wawakilishi wa wazee/mila
Tai nyekundu ni ishara ya utukuka wa shughuli inayofanyika

Hapa sijamhusisha Sheikh Yahya!!
 
mbona kaenda kwa Anna Kilango na katumia muda mrefu kuongea nae.............??????
 
huyu mwanaume kavaa kama blauzi nyekundu ni nani?
 
Usikute wamekwiba pasiwedi ya burn wangu biggy

Hata mimi nna mashaka. Haya hebu nambia mbona unapost via black berry? Uko gesti au kanisani/msikitini?
 
Hii mpya sijawahi kuona JK anawasalimia wageni jukwaa la VIP, alipofika kwa Mwai Kibaki kamnong'oneza "Aisee yangu kidogo haikuwa kali kama yako japo sote tumeingia kwa mlando wa nyuma" alipofika kwa mkewe mama Salma kampa mkono bila hata kumuangalia (nilitegemea ange mkumbatia na kumpiga busu hajifunzi toka kwa obama? Au ana bifu na mkewe) na alipofika kwa Kabila akampa mkono na kumkumbatia...
 
Kwa nini kwenye hiyo picha pameandikwa SWEARING IN CEREMONY?
 
Hata mimi nna mashaka. Haya hebu nambia mbona unapost via black berry? Uko gesti au kanisani/msikitini?
Nipo na Kaizer ila hapa nilipo sijapasoma bado. Lol!
 
huh ......mie nitakujibu la tai bora ....

tai nyekundu ndo kaambiwa inakwendana na ile suit na hasakwa ajili ya shughuli ya asubuhi (au ulitaka lazima iwe ya kijani rangi ya chama?)

Shekhe ni kiongozi wa kidini
Wazee wawili ni wawakilishi wa wazee/mila
Tai nyekundu ni ishara ya utukuka wa shughuli inayofanyika

Hapa sijamhusisha Sheikh Yahya!!

japo hamjaniridhisha...itabidi niwakubalie japo kwa shingo m'binuko
 
koo lazima zikauke kwa kuimba wimbo wa taifa!

si haba wakitoka hapo ikulu kula biriani 😀
 
ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue

Kafute maana ya kuvaa tai nyekundu. Inaelekea hukuipata message yake ya kuvaa red tai.
 
japo hamjaniridhisha...itabidi niwakubalie japo kwa shingo m'binuko

hamu yetu uridhike preta .......

sema usiporidhika utafutiwe jibu la kukuridhisha zaidi
 
Ndo JK kaamuru yapeperushwe hayo madege ya vita??? ana mtisha nani?? wangekua jasiri si wangeshuka huku chini? jamani lunch na dinner kwa JK full kitimoto na mazagazaga ya kichina yote, sijui ni haramu!!! hata sijui kwa kweli
 
Hivi wanavyochelewa kumaliza na juwa kuwa kali JK anaweza kudondoka muda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…