Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,553
- 2,380
Eeh 'afadali' maana nilitishika. Sasa mbona hujanialika kwenye hii Dhifa ya kitaifa mimi hata habari sina mwenzio
nitakualika kwenye kokteli pale magogoni usiku, tukale bata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeh 'afadali' maana nilitishika. Sasa mbona hujanialika kwenye hii Dhifa ya kitaifa mimi hata habari sina mwenzio
ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue
ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue
Usikute wamekwiba pasiwedi ya burn wangu biggyKiongozi, punguza ukali kiduchu...dah!
tena karudia mara 3........................????????????
Usikute wamekwiba pasiwedi ya burn wangu biggy
nitakualika kwenye kokteli pale magogoni usiku, tukale bata.[/QUOTE
afadhali, nikapunguze machungu
Haya tena heka heka za uchaguzi ndio zimeisha kwa Jk kushinda kwa mgongo wa kuchakachua sasa shere za kumuapisha zimeaanza rasmi saa tatu asubuhi na ITV pamoja na TBC wanaonyesha live tujulishane yatakayotoke kama wageni gavi waliofika na yanayojiri kwa ujumla na nadhani wengi wetu tuna shauku ya kumuona mpiganaji Dr. Slaa kama atahudhuria ama la!
View attachment 16357
View attachment 16355
RZ-1 nae ndani ya nyumba pamoja na mkewe....
Jakaya Kikwete
"Tumeshinda pamoja.Namshukuru kila mmoja kwa nafasi yake kwa kile alichofanya kuhimiza umoja na mshikamano wa kitaifa katika kipindi cha uchaguzi pamoja na ushindi huu.Tuendelee kufanya kazi pamoja,kutimiza yale tuliyoahidi na kupambana na changamoto mbalimbali zinazotukabili kwa maendeleo ya taifa letu.Asanteni sana"
![]()
kwa kule nyuma nyuma ni rostam?
Nipo na Kaizer ila hapa nilipo sijapasoma bado. Lol!Hata mimi nna mashaka. Haya hebu nambia mbona unapost via black berry? Uko gesti au kanisani/msikitini?
huh ......mie nitakujibu la tai bora ....
tai nyekundu ndo kaambiwa inakwendana na ile suit na hasakwa ajili ya shughuli ya asubuhi (au ulitaka lazima iwe ya kijani rangi ya chama?)
Shekhe ni kiongozi wa kidini
Wazee wawili ni wawakilishi wa wazee/mila
Tai nyekundu ni ishara ya utukuka wa shughuli inayofanyika
Hapa sijamhusisha Sheikh Yahya!!
ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue
japo hamjaniridhisha...itabidi niwakubalie japo kwa shingo m'binuko