Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 70
Hii mpya sijawahi kuona JK anawasalimia wageni jukwaa la VIP, alipofika kwa Mwai Kibaki kamnong'oneza "Aisee yangu kidogo haikuwa kali kama yako japo sote tumeingia kwa mlando wa nyuma" alipofika kwa mkewe mama Salma kampa mkono bila hata kumuangalia (nilitegemea ange mkumbatia na kumpiga busu hajifunzi toka kwa obama? Au ana bifu na mkewe) na alipofika kwa Kabila akampa mkono na kumkumbatia...
Hata mimi nna mashaka. Haya hebu nambia mbona unapost via black berry? Uko gesti au kanisani/msikitini?
tutajuamengi safari hiiLeo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais.
Kwa nini ulitegemea Jk amdiss mkewe kivile Preta? Tufafanulie tafadhalihayo yote hata mimi nimeyaona na hapo kwa Salma nilitegemea angefanya hivyo......
Kafute maana ya kuvaa tai nyekundu. Inaelekea hukuipata message yake ya kuvaa red tai.
JK ndiye rais lakini kuna mtu anaweza kunisaidia kujua hasa nani alikuwa mshindi halali na kwa alama ngapi? Nina wasiwasi historia yetu itakuwa ya uongo siku zijazo!
Kwa nini ulitegemea Jk amdiss mkewe kivile Preta? Tufafanulie tafadhali
Ndo JK kaamuru yapeperushwe hayo madege ya vita??? ana mtisha nani??
umenichekesha kwa hii comment yakoMkapa acha kuwapiga piga mgongoni maraisi wanaongia, akha
Nasubiri hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa pia kina Prea, Gaijin, Aprin and Bht jamani mnapoteza mwelekeo wa hii thread mnajadili mambo irrelevant kabisa...
Samahani mkubwa. sikujua kuna tukio muhimu hv linaendelea, ndio nikafadhaika.Nasubiri hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa pia kina Prea, Gaijin, Aprin and Bht jamani mnapoteza mwelekeo wa hii thread mnajadili mambo irrelevant kabisa...
Tume ya uchaguzi ndio yenye mamlaka ya mwisho. Na ilimtangaza JK kama mshindi halali. Alama ziko kwenye tovuti ya NEC. Hata kama ni uwongo imeshatoka hiyo. Tugange yajayo. Historia haitasaidia.
Umechanganya kidogo hapo!.Kiarabu huwa kinatoka kulia kwenda kushoto.ok nitaanza kiarabu kutoka kushoto kwenda kulia.....kwanza shekhe, pili wazee wawili, tatu tai nyekundu....vinanichanganya hivi ujue
nina maana alipofika kwa Salma angemkumbatia na kumpa mabusu yenye bashasha, mbwembwe na madoido