Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

Elections 2010 Sherehe za kumuapisha Rais JK - Uhuru stadium DSM

nilifikiri kutoka zanzibar watatuletea Mbwa kachoka .....!

mtu wa pwani vipi? 😀
 
JK aliapa akishika katiba nilidhani angeshika Msaafu
Zuma nae alikuwepo ingawa kaja very late almost 3 min kabla ya JK.
Kwa ili la Riziwani naona CCM wanavuka mipaka
 
iv huyu ridhiwani ni nani!!nimemuona anashuka kwenye gari ya hatari anafunguliwa mlango huku akiwa na security,najiuliza mimi na riz1 tuna tofauti gani!!kweli hapa tumepata uozo tu jamaa ajajifunza chochote kwenye haya matokeo,wananchi tufunge mkwiji coz khali ni mbaya bora tutokako kuliko tuendako.

firstson!
 
Nimesikitishwa na hotuba yake ya leo bora aliyoitoa jana. Amewataka wana CCM kutembea kifua mbele wakati kuna wengine walio kuwa wanamsikiliza sio CCM. Bado ameendelea kutamba na amani uchwara.
Hajui atakuwa Rais wa watu wote.
 
anashukuru kuwa kutokana na mchangamsho huo kua kazi ya kukuza demokrasi

na kusisitiza kua yaliopita si ndwele tugange yajayo


kazi iliopo na kujitahidi kushirikiana kutibu majeraha tulioisababishia nchi
kasababisha mwenyewe atibu mwenyewe!
 
wewe na vibaraka wa shetani Slaa, jaribuni kufanya fujo.

Kijana kuwa na maneno yenye busara hapa, sio unaongea tu kama umetoka kupakuliwa..,
PAMBAFU kabisa ww mtoto.:A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:mbwiga nn ww..:A S angry::A S angry:
 
Hii ya THT ilikuwa the most boring traditional dancing ever seen before!
 
sasa hii ya leo haijanoga ......wala sijaweza itofautisha na ile ya mwanzo
 
JK anafuraha na anatabasamu kila wakati sijui slaa hukoaliko

nnajua anaumia sana
 
sasa hii ya leo haijanoga ......wala sijaweza itofautisha na ile ya mwanzo


hii ni kwa kuonesha kua hata Zanzibar watanganyika wapo


na slaa amekosa mlo wa mchana sasa watu wanaelekea kutafuna kuku
 
OK - Tunaenda kupata "LUNCH" na JK - see you and

Mungu Mbariki BAba_Enock na Familia Yake
Mungu Ibariki Jamii Forum
Mungu Ibariki Tanzania

Uchaguzi is now Officially Over - Tuendelee na Premier League!
 
Back
Top Bottom