Mligo Augustino
Senior Member
- Nov 29, 2017
- 126
- 278
Sherehe za uhuru leo Dodoma zimeandaliwa kwa akili na ubunifu wa hali ya juu kabisa.Haijawahitokea. Vikundi vya burudani vimeleta burudani safi. Majesha nayo yamekuja na staili mpya sana. Ubunifu mkubwa ulitawala sherehe hizi. Watanzania tumefurahishwa sana na mpangilio huu. Vikundi vilitoka kila kona ya nchi. Ubunifu huu uendelee. Siyo kila mwaka hayo hayo.
Zungushaaa mikono swine wewe!Acha upumbavu wanaume wanapo ongea maswala ya umuhimu..Kuzungusha mikono limeingiaje hapa sio Uzi Wa siasa huu kama we ni mfatiliaji Wa hili zoezi
Samahani ulikuwa haupo nchini? Au nimara yako ya kwanza kusikia hayo MAMBO?Lengo langu kuu la kujiunga JF ni kupata elimu kutoka kwa watu mbalimbali wa JF. Naomba kujua Sherehe za leo zilizofanyika Dodoma ni za Uhuru wa nchi gani ? Na sisi Watanzania inatuhusu vipi hadi ifanyikie Dodoma makao makuu ya nchi yetu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuki kwa nguruweLazima itakuwa hivo mkuuu...Kumegewa kunauma sana [emoji23] [emoji23]
Hizo kampeni za uzalendo mkuu haziwezi fanikiwa wasichokojua ni kwamba hata huyo nyerere hakuwalazimisha watu waipende tanzania. Watu wataanzia wapi kuipenda nchi yenye matabaka na upendeleo kwenye kila jambo ka.a hii? Wale wakina lijualikali wamefanya kipi cha mno mpaka wanahelezwa vile? Uinampendaje mtu aliyekubomolea frem yakoNapenda hizi sherehe ziwe zinajitofautisha na mambo ya siasa na vyama.
Jana nimesikitika sana kuona kampeni ya uzalendo ikigubikwa na uchama.
We have a long way, very long way to go and it is likely we will never get there.
zinachoka kadri siku ziendavyo na kitu kikichoka tahadhari ni nyinhiNi kweli lakin .mbona mwanzo walifanya vyema tu na hiz hiz
Jikite kwenye hojandio raha ya tanzania kumtuhumu fisadi muda ukifika anageuka malaika!
Rekebisha heading, papara ya nini?Waliofuraiya sherehe za uhuru kuahirishwa mwaka jana ndio hao hao waliofuraiya sherehe za uhuru kufanyika mwaka huu,swali wamefuraiya nn kufanyika kwa sherehe za uhuru mwaka 2017?Na kilichowafarahisha mwaka 2016 kuahirishwa ni nini?
Ndio maana Ile dhana ya kuruhusu uhuru wa maoni ni ya muhimu sana,wakati sherehe za uhuru mwaka jana zinaahirishwa wapinzani wa ccm waliweka wazi kabisa kuwa katika vitu ambavyo hawaviungi mkono ni pamoja na kuahirishwa kwa sherehe za uhuru,na walitoa sababu za msingi sana,lkn wapinzania waliambulia matusi mengi kutoka ccm,matusi ambayo hayana idadi,matusi mengine siwezi kuayaandiaka hata hapa jukwaani
Baadhi ya matusi ni kama haya
Wapinzani wanapinga kila kitu,wapinzani sio wazalendo,wapinzani wamekosa hoja,na kadhali,leo hii kile wapinzani walikisema mwaka jana ndio kilichofanyika dodoma,tunajifunza nini,kinachotakiwa watanzania ni kujenga utamaduni wa kusikiliza mawazo mbabadala,bila kupigana,bila kutukanana
Kila mwanadamu mungu amempa mawazo yake,na lazima atayasema tu
Jikite kwenye kuchangia sio kuangalia nani kachangia nini!Jikite kwenye hoja
Waliofuraiya sherehe za uhuru kuahirishwa mwaka jana ndio hao hao waliofuraiya sherehe za uhuru kufanyika mwaka huu,swali wamefuraiya nn kufanyika kwa sherehe za uhuru mwaka 2017?Na kilichowafarahisha mwaka 2016 kuahirishwa ni nini?
Ndio maana Ile dhana ya kuruhusu uhuru wa maoni ni ya muhimu sana,wakati sherehe za uhuru mwaka jana zinaahirishwa wapinzani wa ccm waliweka wazi kabisa kuwa katika vitu ambavyo hawaviungi mkono ni pamoja na kuahirishwa kwa sherehe za uhuru,na walitoa sababu za msingi sana,lkn wapinzania waliambulia matusi mengi kutoka ccm,matusi ambayo hayana idadi,matusi mengine siwezi kuayaandiaka hata hapa jukwaani
Baadhi ya matusi ni kama haya
Wapinzani wanapinga kila kitu,wapinzani sio wazalendo,wapinzani wamekosa hoja,na kadhali,leo hii kile wapinzani walikisema mwaka jana ndio kilichofanyika dodoma,tunajifunza nini,kinachotakiwa watanzania ni kujenga utamaduni wa kusikiliza mawazo mbabadala,bila kupigana,bila kutukanana
Kila mwanadamu mungu amempa mawazo yake,na lazima atayasema tu
Bendera fuata upepoWaliofuraiya sherehe za uhuru kuahirishwa mwaka jana ndio hao hao waliofuraiya sherehe za uhuru kufanyika mwaka huu,swali wamefuraiya nn kufanyika kwa sherehe za uhuru mwaka 2017?Na kilichowafarahisha mwaka 2016 kuahirishwa ni nini?