Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za uhuru leo Dodoma zimeandaliwa kwa akili na ubunifu wa hali ya juu kabisa.Haijawahitokea. Vikundi vya burudani vimeleta burudani safi. Majesha nayo yamekuja na staili mpya sana. Ubunifu mkubwa ulitawala sherehe hizi. Watanzania tumefurahishwa sana na mpangilio huu. Vikundi vilitoka kila kona ya nchi. Ubunifu huu uendelee. Siyo kila mwaka hayo hayo.
 
nadhan karne hii ya sasa sio ya kusifia sherehe ifike wakat tuisifie serikal kwa mambo yanayolenga wananchi moja kwa moja na sii kuangalia sherehe pekee, tutafute sifa nzuri za kuipongeza na kuipima serekali yetu
 
Lengo langu kuu la kujiunga JF ni kupata elimu kutoka kwa watu mbalimbali wa JF. Naomba kujua Sherehe za leo zilizofanyika Dodoma ni za Uhuru wa nchi gani ? Na sisi Watanzania inatuhusu vipi hadi ifanyikie Dodoma makao makuu ya nchi yetu?
 
Samahani ulikuwa haupo nchini? Au nimara yako ya kwanza kusikia hayo MAMBO?
 
Napenda hizi sherehe ziwe zinajitofautisha na mambo ya siasa na vyama.

Jana nimesikitika sana kuona kampeni ya uzalendo ikigubikwa na uchama.

We have a long way, very long way to go and it is likely we will never get there.
Hizo kampeni za uzalendo mkuu haziwezi fanikiwa wasichokojua ni kwamba hata huyo nyerere hakuwalazimisha watu waipende tanzania. Watu wataanzia wapi kuipenda nchi yenye matabaka na upendeleo kwenye kila jambo ka.a hii? Wale wakina lijualikali wamefanya kipi cha mno mpaka wanahelezwa vile? Uinampendaje mtu aliyekubomolea frem yako
 
Waliofuraiya sherehe za uhuru kuahirishwa mwaka jana ndio hao hao waliofuraiya sherehe za uhuru kufanyika mwaka huu,swali wamefuraiya nn kufanyika kwa sherehe za uhuru mwaka 2017?Na kilichowafarahisha mwaka 2016 kuahirishwa ni nini?
Ndio maana Ile dhana ya kuruhusu uhuru wa maoni ni ya muhimu sana,wakati sherehe za uhuru mwaka jana zinaahirishwa wapinzani wa ccm waliweka wazi kabisa kuwa katika vitu ambavyo hawaviungi mkono ni pamoja na kuahirishwa kwa sherehe za uhuru,na walitoa sababu za msingi sana,lkn wapinzania waliambulia matusi mengi kutoka ccm,matusi ambayo hayana idadi,matusi mengine siwezi kuayaandiaka hata hapa jukwaani
Baadhi ya matusi ni kama haya
Wapinzani wanapinga kila kitu,wapinzani sio wazalendo,wapinzani wamekosa hoja,na kadhali,leo hii kile wapinzani walikisema mwaka jana ndio kilichofanyika dodoma,tunajifunza nini,kinachotakiwa watanzania ni kujenga utamaduni wa kusikiliza mawazo mbabadala,bila kupigana,bila kutukanana
Kila mwanadamu mungu amempa mawazo yake,na lazima atayasema tu
 
ndo yaleyale ya Zimbabwe jamaa anashinda kwa asilimia90 then anatolewa hakuna anayelalama
 
Rekebisha heading, papara ya nini?
 
That's part of the game!
 
Bendera fuata upepo
 
Back
Top Bottom