Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Hii kete haitawaacha salama upinzani, watapotezwa kabisa!! Hapa no offense, JPM kawapiga jamaa supa ya draft.
 
ukitaka ujue kwamba hawa pipo nyota zao zina nguvu basi wafanye Tamasha siku ya krismasi waliite "THE RETURN OF BABU SEYA" wataingiza mitonyo balaaa!!!
wajanja hapo wanajipanga fasta kupiga mpunga..Dr shika kwaheri..ashazimwa
 
Nina furaha sana babu seya kuachiwa huru....
Allah amsimamie katika maisha yake mapya ya uraian insha Allah
 
Hata angewafufua marehemu waliokufa ila 2020 lazima atoke upinzani utawale. Live Long babu seya
 
Huwezi kuipindisha haki, kwa kuwa haki ikipindishwa huwa inatafuta pa kutokea hata miaka 100. Hongera sana mh. Rais
 
Hii kete haitawaacha salama upinzani, watapotezwa kabisa!! Hapa no offense, JPM kawapiga jamaa supa ya draft.

Usisahau kuwa ilithibitishwa mahakamani (pamoja na rufaa kadhaa) kuwa Babu Sea na vijana wake walifanya vitendo vya kinyama vya kulawiti watoto wadogo. Sasa shangilia kwa kuwa victims hawakuwa watoto wako.
 
Dah kaiba idea ya Lowasa
.
Kweli kabisa Lowasa katika kampeni zake aliahidi kumwachia babu Seya ccm wakabeza sana kumbe yalikua yakimezea mate u-brilliant wa Mamvi.
Hata hivyo babu seya ni kielelezo cha ukatili wa hali ya juu unaoweza kufanywa na watawala wakitumia dola na mhimili unaojinasibu kuwa huru wa mahakama.
 
Nina furaha sana babu seya kuachiwa huru....
Allah amsimamie katika maisha yake mapya ya uraian insha Allah

Allah my foot. Unajua Babu Seya alifungwa kwa kosa la kulawiti watoto wadogo? Huyo ni Allah gani aliwatuma kufanya unyama huo?
 
Back
Top Bottom