KIFPA
Member
- Oct 3, 2012
- 64
- 18
Nipo karibu na gereza la Ukonga naenda gettini kuwapokea Kina NguzaJamaniii aiseeee nimefurahi wale watu kuachiwa huru,. Hata kama walifanya unyama lakini wamekoma na wamejifunza sasa warudi kwao wasirembe tena hapa bongo,...dah,