Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Jamaniii aiseeee nimefurahi wale watu kuachiwa huru,. Hata kama walifanya unyama lakini wamekoma na wamejifunza sasa warudi kwao wasirembe tena hapa bongo,...dah,
Subiri nawewe watoto wako wafanyiwe hayo then uwasamehe hao mabaradhuli
 
Ubarikiwe Mh Rais Magufuli kwa kumwachia Babu Seya...Christian Bella ajiandae ahahaha!
 
We mleta Uzi, kwenye idadi ya watu toka Uhuru na sasa umechapia. Mh Raisi hajasema hivyo==========> amesema tuko 52ml.
Rekebisha haraka sana.
 
Napenda hizi sherehe ziwe zinajitofautisha na mambo ya siasa na vyama.

Jana nimesikitika sana kuona kampeni ya uzalendo ikigubikwa na uchama.

We have a long way, very long way to go and it is likely we will never get there.
Kampeni yenyewe imeanza kufeli Jana hiyo hiyo
 
Wakuu mwenye clip ya jpm akitangaza uamuzi huo naomba aiweke humu.

Long live jpm!
 
sasa chama tawala kikianza kuhangaika kushindana na ambao tayari kimeshawashinda maana yake nini? we tayari unatawala na ukishika utawala wewe ni wa wote unapoanza kuvaaa sare za chama chako katika shughuli za kuwaunganisha watz unaleta picha gani? sijawahi ona mbunge kavaa sare yenye NEMBO ALAMA AU RANGI za kuwakilisha chama chake bungeni. Sasa unapovaaa kijani jembe na nyundo katika dhifa za kitaifa una maana gani?
Hawa wanatofauti gani na wanaovaa uniform za chama bungeni? Wengine tukisema wafuasi wa hivi vyama ni misukule tunaoga matusi toka pande zote
 
mh. rais ametugusa wengi leo kumwachia babu seya... Mungu aendelee kumbariki Rais wetu mpendwa
 
Watu wa protocal wanisaidie hivi ni sawa kwa marais wastaafu kusubiri hadi Naibu spika, Majaji wa wakuu hadi waondokee uwanjani?
 
Back
Top Bottom