Mahakama gani za Tz?Usisahau kuwa ilithibitishwa mahakamani (pamoja na rufaa kadhaa) kuwa Babu Sea na vijana wake walifanya vitendo vya kinyama vya kulawiti watoto wadogo. Sasa shangilia kwa kuwa victims hawakuwa watoto wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama gani za Tz?Usisahau kuwa ilithibitishwa mahakamani (pamoja na rufaa kadhaa) kuwa Babu Sea na vijana wake walifanya vitendo vya kinyama vya kulawiti watoto wadogo. Sasa shangilia kwa kuwa victims hawakuwa watoto wako.
Hata sijui[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Watu wa protocal wanisaidie hivi ni sawa kwa marais wastaafu kusubiri hadi Naibu spika, Majaji wa wakuu hadi waondokee uwanjani?
pamoja sana mkuuWakuu mwenye clip ya jpm akitangaza uamuzi huo naomba aiweke humu.
Long live jpm!
Asante Mkuu.Mjinga mama yako, shwaini we!
Ndio ilitakiwa useme hivyo hapo mwanzoni na kutaja angalau kituo kimoja kilichokuwa kikirusha hiyo hotuba.Source hotuba yake now Jamhuri Dodoma
Weka picha tuonesasa chama tawala kikianza kuhangaika kushindana na ambao tayari kimeshawashinda maana yake nini? we tayari unatawala na ukishika utawala wewe ni wa wote unapoanza kuvaaa sare za chama chako katika shughuli za kuwaunganisha watz unaleta picha gani? sijawahi ona mbunge kavaa sare yenye NEMBO ALAMA AU RANGI za kuwakilisha chama chake bungeni. Sasa unapovaaa kijani jembe na nyundo katika dhifa za kitaifa una maana gani?
unahitaji picha ya nini mdau kwani tunawasingizia?Weka picha tuone
Hatufukui MakaburiHivi hawa waliokua wanamegwa ni nani alikua mmiliki wake?
Je!? Walikua ni watoto wa mtu au ni wake za watu!?
Hebu nijuze hapo mkuu.!
Protocols siyo vitu trivial.Trivial things kama hizi mnaleta JF ya nini? Wabaki watangulie haisaidii kitu.
Nimetamani sana huu ushauri wako upokelewe na kutekelezwa haraka na wahusika.Wanajeshi wengine wapelekwe DRC tukalipe kisasi kwa ADF wameua askari wetu wengi sana roho inaniuma