Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Usisahau kuwa ilithibitishwa mahakamani (pamoja na rufaa kadhaa) kuwa Babu Sea na vijana wake walifanya vitendo vya kinyama vya kulawiti watoto wadogo. Sasa shangilia kwa kuwa victims hawakuwa watoto wako.
Mahakama gani za Tz?
 
Watu wa protocal wanisaidie hivi ni sawa kwa marais wastaafu kusubiri hadi Naibu spika, Majaji wa wakuu hadi waondokee uwanjani?
Hata sijui[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
 
Trivial things kama hizi mnaleta JF ya nini? Wabaki watangulie haisaidii kitu.
 
Sasa kiki zote wanazimaliza sijui mwakani watakuja na ipi
 
Source hotuba yake now Jamhuri Dodoma
Ndio ilitakiwa useme hivyo hapo mwanzoni na kutaja angalau kituo kimoja kilichokuwa kikirusha hiyo hotuba.

I see people in jf talk sensitive issues without accreditation. Anyway just because even the ID's we use are anonymous let it go like that! But it's not a good way of presenting a genuine information
 
sasa chama tawala kikianza kuhangaika kushindana na ambao tayari kimeshawashinda maana yake nini? we tayari unatawala na ukishika utawala wewe ni wa wote unapoanza kuvaaa sare za chama chako katika shughuli za kuwaunganisha watz unaleta picha gani? sijawahi ona mbunge kavaa sare yenye NEMBO ALAMA AU RANGI za kuwakilisha chama chake bungeni. Sasa unapovaaa kijani jembe na nyundo katika dhifa za kitaifa una maana gani?
Weka picha tuone
 
Bigup Jpm alicho fanya excellent ....ila kama ni strtegy ya siasa nimapema sisi wtzn niwasaulifu sana kwasababu tuna changamoto za maisha tunazo nyingi it will be hardly one month the story is over.... tutakua na mengine lkn sio. dr shika
 
Mtaa mzima hapa nyumbani wanapiga goma la babu seya.

Jpm umetisha.
 
Hivi hawa waliokua wanamegwa ni nani alikua mmiliki wake?
Je!? Walikua ni watoto wa mtu au ni wake za watu!?
Hebu nijuze hapo mkuu.!
Hatufukui Makaburi
kama mkanda huo hukuuona enzi hizo kaa kimya
alimegwa mke wa mtu (MMOJA TU) FULL STOP
 
sasa hujui kama naibu spika ni kiongozi wa muhimili wa dola,kwan rais mstaafu ni kiongozi wa muhimili gan?
 
Watajua wenyewe kama walimkabidhi mtu nchi mtu asiye na fadhila acha akili iwakae sawa.
 
Wale ni viongozi wa mihimili ya Taifa/nchi lkn wasitaafu hawa si viongozi wa muhimili wowote ni raia wema kama ulivyo wewe, tofauti ni kuwa wao wanapata heshima kwa kuwa wameshika nyadhifa kubwa kabla ya kusitaafu.
 
Back
Top Bottom