Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?

Mkuu kwani inachukua muda gani kutoka America kufika Tanzania? Nimeona kuna ratiba ya kuzindua Royal Tour tarehe 28 April 2022 huko Arusha. Nina imani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yenye silaha ,Mh Samia Suluhu Hassan, atakuwepo siku ya tarehe 26 April 2022 kupokea heshima za kijeshi toka kwenye majeshi yetu.
 
Awepo asiwepo hakuna la maana
 
Chuma kitakuwepo
 
Je kama anatua leo?
 

Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa mliyataka wenyewe.​

 
Duu JF imevamiwa. Ni wapi mleta mada umeona kuwa raisi hatakuwepo. Kabla haujaleta uzi hapa jaribu kwanza kufanya utafiti kwenye mtandao mbalimbali kisha jiridhishe halafu ndio uje hapa kubandika uzi wako. Toka wiki iliyokwisha habari zipo mitandaoni humu humu zikionyesha tena kuna bango linaloonyesha picha za Mwinyi na Samia watakuwepo ukumbini Dodoma hiyo tarehe 26/04/2022.
 
Sherehe ziahirishwe hadi arudi
 
we una kihehere nani kakuambia hatakuwepo
 
Hayo maadhimisho kwa sasa hayana mvuto

Maraisi wote wanatoka upande moja 'Zanzibar', hata tafsiri ya kuungana haionekani
Hamna raisi anayetoka Zanzibar hao ni ndugu zenu wakwere wa mkuranga mliowaweka Zanzibar kwa mtutu wa bunduki
 
All in all, unaweweseka na Royal tour nothing else!!
 
Rais akiwa nje je Nchi inakosa amiri Jeshi mkuu? VP Kazi yake ni ipi?

Hizi si ndio sherehe Jiwe alikuwa anazipuuzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…