Utakufa bure kwa sonona uliyekuwa ukimpenda ameshakufa na harudi tena(bila shaka ulimpendea roho mbaya yake) na usiyempenda ndiye yupo tena hadi 2030 sasa jiulize utaumia kiasi gani!Kama ibara ya kwanza ya katiba ya JMT inavyotanabaisha ni kuwa Tanzania ni dola huru ambayo ni jamhuri ya muungano.
Jamhuri ya muungano wa Tanzania ilizaliwa mwaka 1964 siku ya tarehe 26 mwezi wa nne.
Ibara ya 33 ya katiba ya JMT inatanabisha wazi kuwa rais ndie mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu.
Kusherehekea siku kuu ya kuzaliwa JMT huku mkuu wa nchi hayupo ni sawa kweli?
Hii inaleta picha gani?
Nyankurungu2020,utasumbuka na vikaragosi vya hangaya,Nani atakagua jeshi kama amri jeshi mkuu?Mkuu wa nchi huwezi kuacha kuhudhuria sherehe kama hii kisa tu upo Usa unazindua filamu.
Unafikiri kwa kutumia makalioUtakufa bure kwa sonona uliyekuwa ukimpenda ameshakufa na harudi tena(bila shaka ulimpendea roho mbaya yake) na usiyempenda ndiye yupo tena hadi 2030 sasa jiulize utaumia kiasi gani!
Utakufa bure kwa sonona uliyekuwa ukimpenda ameshakufa na harudi tena(bila shaka ulimpendea roho mbaya yake) na usiyempenda ndiye yupo tena hadi 2030 sasa jiulize utaumia kiasi gani!
Mkuu ni Kweli hiyo filamu imegharimu 7 bilioni?Hilo la kuzindua filamu ni jambo tofauti kidogo na hiyo sherehe iliyopo miaka yote.
Hakuna lolote jipya kwenye hiyo sherehe boss ya kukwazika rais kutokuwepo.
Viongozi wengine waliopo wanaweza kusimamia maadhimisho ya hiyo sherehe bila tatizo lolote kwani nothing special.
Ingekuwa ni msiba wa kitaifa hapo wangalau ungekuwa na hoja, na sio hiyo kukagua gwaride na kutoa hotuba zinazojirudiarudia.
Makamu wa Rais Tosha.Nchi inaongozwa kwa katiba, hebu tupe hiyo kifungu inozungumzia uwepo wa sherehe bila Rais na muongozo wake
hata kuzindua sijui kupuyanga U.S Waziri wake wa utaliii na nyanja husika plus board zingemaliza tu huo mchezo. unajua tabu mkishauriwa vema mnaona kama ni attacks! Yaani unaona sherehe ama maadhimisho ya Muungano is nothing? sovereign ya Nchi inatokana na nini?Hilo la kuzindua filamu ni jambo tofauti kidogo na hiyo sherehe iliyopo miaka yote.
Hakuna lolote jipya kwenye hiyo sherehe boss ya kukwazika rais kutokuwepo.
Viongozi wengine waliopo wanaweza kusimamia maadhimisho ya hiyo sherehe bila tatizo lolote kwani nothing special.
Ingekuwa ni msiba wa kitaifa hapo wangalau ungekuwa na hoja, na sio hiyo kukagua gwaride na kutoa hotuba zinazojirudiarudia.
Ukweli mchungu huu, Hakuna la maana loloteNi sherehe zilizo kimazoea tu lakini hakuna lolote la maana zaidi ya watu wa serekalini kupiga imprest.
Kwa hiyo majeshi yetu yanatoa amri ya utii kwa kiongozi yoyote tofauti na rais wa JMT?Hilo la kuzindua filamu ni jambo tofauti kidogo na hiyo sherehe iliyopo miaka yote.
Hakuna lolote jipya kwenye hiyo sherehe boss ya kukwazika rais kutokuwepo.
Viongozi wengine waliopo wanaweza kusimamia maadhimisho ya hiyo sherehe bila tatizo lolote kwani nothing special.
Ingekuwa ni msiba wa kitaifa hapo wangalau ungekuwa na hoja, na sio hiyo kukagua gwaride na kutoa hotuba zinazojirudiarudia.
Kwahiyo hoja yako sio sherehe bali ni nongwa kwanini Rais amesafiri? Hapo nimekuelewa Mkuu.Lakini alikuwepo nchini.
Huna akili.Kwahiyo hoja yako sio sherehe bali ni nongwa kwanini Rais amesafiri? Hapo nimekuelewa Mkuu.
Mbona hamkumwambia haya mungu wenu wa Chato?hata kuzindua sijui kupuyanga U.S Waziri wake wa utaliii na nyanja husika plus board zingemaliza tu huo mchezo. unajua tabu mkishauriwa vema mnaona kama ni attacks! Yaani unaona sherehe ama maadhimisho ya Muungano is nothing? sovereign ya Nchi inatokana na nini?
Ina maana hawa yatima mpaka leo hujawajuwa tu?Kwahiyo hoja yako sio sherehe bali ni nongwa kwanini Rais amesafiri? Hapo nimekuelewa Mkuu.
Mkuu ni Kweli hiyo filamu imegharimu 7 bilioni?