Sherehe za Muungano bila Amiri Jeshi Mkuu ni sawa?


Yaani mimi aende yeye, aende waziri wake kwangu yote sawa. Sherehe za muungano zifanyike ama zisifanyike, rais awepo nchini au asiwepo kwenye hiyo sherehe, kwangu ni sawa tu. Kwakuwa ww uko serekalini na kwa namna moja au nyingine unafaidika na hiyo sherehe ni lazima uone tatizo. Ila kimsingi ni sherehe ya kawaida mno boss.
 
Kwa hiyo majeshi yetu yanatoa amri ya utii kwa kiongozi yoyote tofauti na rais wa JMT?

Sio jambo complex kihivyo, nyie ndio mnaona ni jambo la hatari kwa hivyo. Ingekuwa iko sensitive kihivyo uchaguzi ungekuwa unaheshimiwa.
 
Anarudi leo.. kesho atakuwepo kwenye sherehe za Muungano halafu Tarehe 28 atahudhuria Royal Tour ARUSHA
Hivi mafaili huwa anayapitia saa ngapi?maana mwenzie jiwe aliwahi kutuambia alikua analala na mafaili kitandani pamoja na usiriazi wake wote ule.
 
Yupo Dr Hussein mwinyi wa mkuranga
Huyu ndiye rais wako
 
Ni sherehe zilizo kimazoea tu lakini hakuna lolote la maana zaidi ya watu wa serekalini kupiga imprest.
Enzi zile Sherehe fulani ya Kitaifa ilipangwa kufanyika Mkoa wa Simiyu. Mkuu kaona si vyema ni Bora fedha Ile itumike kwa maendeleo ya wananchi na akawapiga stop wote kwenda huko Simiyu. Sasa kimbembe kuna wahusika toka mikoani wakiwa njiani wakapata hiyo taarifa na imprest wameshakula tayari. Ilikuwa patashika nguo kuchanika. Watazirudishaje hizo pesa na wanajua fika jamaa keshawaambia watabanwa mpaka wazitoe katika tundu lolote kwenye miili yao. Wengine mtashangaa lakini huo ndio ukweri.
 
Nani aliyekwambia hatakuwepo?

Majaliwa atoa maagizo kwa MaDC, RC kuhusu sherehe za muungano
 
Dunia nzima kila taifa linasherehekea kuzaliwa kwake.
Tarehe ipi hiyo ya kushere
Kukurupuka bila ushahidi imekuwa hulka ya wengi hapa JF siku hizi.
Nani kakuambia Rais Samia Suluhu Hassan hatakuwepo Nchini kwenye Sherehe za Muungano?
 
Hii sasa ni kujaza Server za Jeiefu..
 
Tarehe ipi hiyo ya kushere

Kukurupuka bila ushahidi imekuwa hulka ya wengi hapa JF siku hizi.
Nani kakuambia Rais Samia Suluhu Hassan hatakuwepo Nchini kwenye Sherehe za Muu

Umeona sasa, wewe ndo UMEKURUPUKA
Tarehe ipi hiyo ya kushere

Kukurupuka bila ushahidi imekuwa hulka ya wengi hapa JF siku hizi.
Nani kakuambia Rais Samia Suluhu Hassan hatakuwepo Nchini kwenye Sherehe za Muungano?
 
Nilipoandika ilikuwa imetangazwa kwamba Rais Samia ndio atakuwa mgeni rasmi.
Soma hapo link kwa mujibu wa gazeti la Mwanachi.Sikukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…