Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

comments za hili bandiko hazifiki hata 200 licha ya muhusika kuongea muda wote huu mpaka sasa amemaliza hizi ni dalili kuwa magufuli amechuja sana aachane na mpango wa kugombea urais tena.
Vipi unaishiwa nguvu tukuletee ambulance
 
Hivi pale magogoni kwa hyo pamefungwa???
 
Safi sana Mzee wetu, pongezi kwa Rais na pia pongezo kwa mzee ruksa na JK nk
 
Ni jambo jema. Lakini sioni Barakoa? Hao wazee wakipata hayo mafua kwa mpigo si itakuwa kazi?
Tukio jema linazaa sekeseke nyingine.

Wasalam.
 
Ndg Hayo ni maoni yko tu nadhan hayata
badili uhalisia.
Binafsi maoni yangu ni Vema hyu rais wetu JPM akae kwenye Kiti hcho mpaka miaka ishirini ipitee au apewe hata ukiranja kwa marais wote wa Africa ,
JPM KIONGOZ WA KUIGWA, ANAMTEGEMEA MUNGU HANA CHA PAPALA ,
ANASIMAMIA MASLAHI YA NCHI KWA WELEDI.
yaani mpaka nahic nchi nyingi duniani zinatamani awe rais wao
Daah, nahc nkimponda ntakuwa
Mnafiki
 
Nimesoma ulichoandika nikasinzia.
 

Anajiwekea mazingira ya kukaa madarakani Zaidi ya miaka 10.
 
Si tija kiuchumi,labda kwenye sifa anataka akumbukwe kupitia majengo thus anajenga uwanja wa mpira Chato usio na tija kiuchumi

Huo uwanja wa Chato utakuwa kama ule wa Ally Hassan Mwinyi wa Tabora. Siku akitoka madarakani utageuka pagara.
 
Hivi hao ndege wana nini unique?

Na kweli hata mimi nashangaa. Kwangu mimi hata angemgaia kila mtu anayekutana naye sioni tabu. Ila ninachojiuliza, hao aliowapa ni kwamba walikuwa wanawataka sana hao ndege.

Ila walishindwa kuwachukua maana sheria hazikuwaruhusu wao walipokuwa marais, ila sheria za sasa zimemruhusu yeye kuwagai marais wastaafu?

Au enzi za hao wengine walikuwa wachache sana kiasi kwamba haikuwezekana kuwachukua? Ila kwa sasa wamekuwa wengi hivyo hao marais wastaafu wanawatamani?

Cc: Bia yetu
 
Mbona unabwabwaja kama umekalia kitu chenye ncha Kali, ?? Mara Arusha yote ,mara dicteta, mara eneo kubwa lina madhara, sasa nini msimamo wako ? Na zaidi ya hapo je ndio madaraka uliopewa wewe au ni maoni yako ambayo yapo yapo yanaeleaelea?

Maana kama una valid point ieleze vs ubaya wa eneo kubwa n.k. Moreover aliyeamua kuwa na eneo kubwa unawajua au unamjua au ndio ndoto za wana saccos kisiasa, wakati saccos dhumuni lake sio siasa
 
Basi unaona umetoa hoja ya maana kweli!

Kweli bavicha ni mzigo
 
Yani wewe bila shaka ndio utakuwa kicheche wa Msoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…