stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Kabisa mkuu. Na ukimuacha usijihusishe nae kwa chochote. Ukiwa unawasiliana nae atajiweka kwenye kundi la kupendwa badoDawa ya mwamke ni kumuacha kwa Amani
NimeshangaaMbona mmekula ban ghafla?😀
😀 😀 ukishaona znatrend na wewe unajaribu alafu unaskia VISHU you ARE NOT (SORRY) you are ze fazaNoma sana, ila mzee yupo cool tu.
Kwani hao jamaa huwa inakuaje mpaka wanafikishana kortini kupima dna??
Naona hizo " you are not.." ndio zinatrend sana kuliko "you are"
Kabisa mkuu. Na ukimuacha usijihusishe nae kwa chochote. Ukiwa unawasiliana nae atajiweka kwenye kundi la kupendwa badoya