Sheria haina vifungu vya msamaha wala kuvumiliana. Iweje Rais wa Nchi atangaze misamaha mitatu kwa watumishi wenye makosa?

Weakman

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2021
Posts
995
Reaction score
1,607
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!

Hili lakutangaza misamaha likoje?

Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni!

Vipi Kuna kanuni za kusameheana?

Kama hazipo kwanini kiongozi mkuu anatoka hadharani kutangaza hatozingatia kanuni za utumishi, na anakuja na style ya misamaha mitatu?

Kwanini asiliweke moyoni mwake na akalifanyia utekelezaji bila kuweka bayana?

Je, hajui yeye ni kiongozi mkuu na hivyo style ya uongozi wake inatekelezwa na viongozi wote chini yake?

Naomba kuwasilisha!

#MaendeleoHayanaChama

Ongeza urefu wa kamba yako, wakati ni Sasa!
 
Kwa hiyo ilijua yuko serious?
 
Watumishi wa umma wana uhakika wa kufanya kazi miaka 9 mbele kama hawajazingua wao na mishahara juu kama kawa.
 
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!

Hili lakutangaza misamaha likoje?

Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni!

Vipi Kuna kanuni za kusameheana?

Kama hazipo kwanini kiongozi mkuu anatoka hadharani kutangaza hatozingatia kanuni za utumishi, na anakuja na style ya misamaha mitatu?

Kwanini asiliweke moyoni mwake na akalifanyia utekelezaji bila kuweka bayana?

Je, hajui yeye ni kiongozi mkuu na hivyo style ya uongozi wake inatekelezwa na viongozi wote chini yake?

Naomba kuwasilisha!

#MaendeleoHayanaChama

Ongeza urefu wa kamba yako, wakati ni Sasa!
Mbona umeandika kana kwamba wote tunajua hicho ulichoongelea. Huuu zi una upungufu wa madini chuma kwahiyo bora ufutwe tu
 
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!

Hili lakutangaza misamaha likoje?

Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni!

Vipi Kuna kanuni za kusameheana?

Kama hazipo kwanini kiongozi mkuu anatoka hadharani kutangaza hatozingatia kanuni za utumishi, na anakuja na style ya misamaha mitatu?

Kwanini asiliweke moyoni mwake na akalifanyia utekelezaji bila kuweka bayana?

Je, hajui yeye ni kiongozi mkuu na hivyo style ya uongozi wake inatekelezwa na viongozi wote chini yake?

Naomba kuwasilisha!

#MaendeleoHayanaChama

Ongeza urefu wa kamba yako, wakati ni Sasa!
Wewe ni mjinga, taasisi ya Urais na uongozi sio mahakama bali ni mwenendo wa jamii kama tuu kwenye familia.
 
Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!

Hili lakutangaza misamaha likoje?

Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni!

Vipi Kuna kanuni za kusameheana?

Kama hazipo kwanini kiongozi mkuu anatoka hadharani kutangaza hatozingatia kanuni za utumishi, na anakuja na style ya misamaha mitatu?

Kwanini asiliweke moyoni mwake na akalifanyia utekelezaji bila kuweka bayana?

Je, hajui yeye ni kiongozi mkuu na hivyo style ya uongozi wake inatekelezwa na viongozi wote chini yake?

Naomba kuwasilisha!

#MaendeleoHayanaChama

Ongeza urefu wa kamba yako, wakati ni Sasa!
Hajasema anatumia Sheria Ila anatumia discretion aliyonayo by the power endowed to her.

Ni Yule mwenye madaraka ya kufanya jambo fulani akaamua tu kutumia busara ya mfalme ambayo haikuwa imeandikwa popote na kufanya maamuzi fulani.

Sasa mnataka awe Kama Magufuli fukuzafukuza tu Kama nchi ya vichaa? Kila siku ukiangalia TV ni unakutana na watu wanafoka tu !!!!!

Mtu mzima hafokewi bana ymtuwe wastaarabu, na kufukuzana kwa kila kitu mengine ni mtu amepitiwa tu unakuta jambo dogo labda kasahau file lipo sehemu gani ndio mfukuzane?

Kila binadamu ana mapungufu ndio maana unapewa second chance ili tuone kama haikuwa tabia yako hautajirudiarudia ila Kama ndio yako tutajua tu na ndio maana Rais akasema atakuonya Mara tatu na akiona bado bado atakuhamisha hapo sababu anaamini yawezekana hapo haupawezi Ila unaweza kwingine.

Unaweza kumpa mtu uwaziri kumbe yeye anafaa kuwa mkuu wa wilaya. Unaweza kumpa mtu ukurugenzi wa halmashauri kumbe yeye anafaa kuwa bwana shamba wa wilaya. So no kujua kwamba hakuna mtu ambaye ni useless.

Sasa tatizo baadhi mmezoea kukimbizana Kama mbuzi ndio mnaona huo ndio utendaji wa kazi, kazini hatukimbizani Kama kuruta maana hata kuruta anakimbizwa Ila akishafuzu anakuwa askari sio wa kuburuzwa Tena maana ni ofisa anaheshimika sasa.

Tusipende kuburuzana maofisini.
 
Kwa hii katiba mbovu Rais ni zaidi ya MUNGU
 
No wonder uzembe na ubadhirifu umerudi.
 
No wonder uzembe na ubadhirifu umerudi.
Kuna namna ya kudeal na watu sio Ile ya Magufuli ndugu unless mnakubaliana na viboko pia turudishe maofisini ukichelewa ofisini tukulambe fimbo mbele ya mwanao.

Mtu mzima unadeal nae kiutu uzima bana hebu site tustaarabike haitatokea wa kukimbizana nae au kugombezana maofisini Kama vile tuko shule ya msingi wakati pale ni ofisini.

Mtu akiharibu kazi sheria zipo wazi anapata onto then anatolewa akizidi Mara tatu otherwise tusiweke sheria Wala Katiba Rais aongoze kwa kuamua tu.

Yani akiamka anasema huyu afungwe, huyu auwawe, huyu watoto zake waletwe hapa nao wapigwe fimbo na baba yao sababu ameiba hela za umma hakuna haja ya kuweka disciplinary action.

Sidhani kama huo ndio utaratibu unaotaka tuurudie. Yani hata ukituhumiwa mie nikija na mtu akisema tu labda nilitaka rushwa basi hauweki uchunguzi we unafukuza tu, yaani guilty before innocent Ile ya Magufuli

Naamini sana kwenye rule of law hiyo ndio itatutengenezea jamii iliyostaarabika hata mtu alikosea yeye mwenyewe anajikuta anajiuzulu sababu anakuwa anafahamu kabisa kwamba jamii haikubaliani na alichokifanya na ameshapoteza credibility yake.
 
Kutokutekeleza wajibu ni neno pana anaweza akasababishiwa kutokukeleza wajibu.
Mfano ukosefu wa pesa, bajet nk
 
Jamiii ya KiAfrica bado inahitaji viboko na makashikashi mengi sana ili watu wakae sawa..

Bila utemi, ubabe, mateso, ukatili na unyama hakuna siku Mwafrica ataendelea....tutakuwa watu wa kulalama kila siku...kuna wakati inabidi wazembe, wapumbavu na wajinga wapitie hardtime...
 
Back
Top Bottom