Tafadhali, enyi wenye uweledi na taaluma za Uongozi!
Hili lakutangaza misamaha likoje?
Niliamini utumishi Bora ni kuzingatia kanuni za utumishi, na kwamba mtumishi anahesabika kukosea baada kutotekeleza wajibu kulingana na kanuni!
Vipi Kuna kanuni za kusameheana?
Kama hazipo kwanini kiongozi mkuu anatoka hadharani kutangaza hatozingatia kanuni za utumishi, na anakuja na style ya misamaha mitatu?
Kwanini asiliweke moyoni mwake na akalifanyia utekelezaji bila kuweka bayana?
Je, hajui yeye ni kiongozi mkuu na hivyo style ya uongozi wake inatekelezwa na viongozi wote chini yake?
Naomba kuwasilisha!
#MaendeleoHayanaChama
Ongeza urefu wa kamba yako, wakati ni Sasa!