Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

Sheria hazilindi Mabwege, Watu dhaifu; na Mamlaka huheshimu Mamlaka

Mfano murua kabisa Kwa hili ni Ile kesi ya mwabukusi, mahakama ilitoa hukumu Kwa kuheshimu mamlaka nyingine!
 
Ila kweli jamani, maana hata tukitembelewa na waamuzi wetu askari wengi wanawalinda wao kuliko sisi huku ambako tunachangamana na vibaka!
 
Back
Top Bottom